Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,487
- 2,344
Sina nataka kuelewa
Sina nataka kuelewa
Bado niko hatua za awali mkuu
Kweli hata mimi uzi huu unanihusu...mkuu nakupataje huu uzi unamekuja wakati muafaka maana ndo nimefikisha vigezo tayari ila jamaa wanazingua. mwecy18@gmail.com ndo email yangu tuwasiliane unipe mwongo ahsante sana
Ikiwa tayari tupeane sapotiBado niko hatua za awali mkuu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ni pmAhsante kwa hii thread. Mimi nina maswali yafuatayo;
1. Je hiyo pesa unalipwa kwa interval fan? Ni kila mwez au kila wiki?
2. Kila channel ya youtube lazima isajiliwe TCRA au zile za habari tu mfano millardayo?
3. Uluchukua muda gani mpaka ukafikisha 1k subscribers?
Mwisho
Naomba tupeane sub 4 sub pm coz nami ndio ninaanza mkuu. Pm me
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaga madini hapahapa mkuu
poaNicheki pm mkuu
NipmKaribu kwenye group letu la YouTube kwa ajili ya kupeana na kubadilishana subscribe
Share our link to get member for Our group please
Sent using Jamii Forums mobile app