Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,457
- 12,201
Unajua kwa nini binadamu kuna mrefu, mfupi mwembamba na mrefu na why kuna mwanamke na mwanaume?bila shaka ww ulisoma insurance
vilaza wa chuo
Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba wote katika size moja, rangi moja na jinsia moja lkn jwa sbb kila mmoja anamtegemea mwenzie ndio maana kukawa.na variety ya uumbaji.
Katika kuhitimu kwako jitahifi uhitimu Busara, Hekima na nidhamu.
Kama una akili utaelewa namaanisha nini kifupu ni kuwa hata hiyo accounts unayosoma ina exist kwenye idara nyinginebjwa sababu tu ya kuwapi kwa zile idara.
Mfano pale Muhimbili, Key duty pale ni tiba, je wewe ni daktari kuwapo pale?
Ngoja umalize urudi mtaani utapata akili utakumbuka hilo bumu na hutakuwa na uwezo wa kulipata tena.