VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Ni muda mfupi sana huo kuanza kuhisi dalili hata kama umeambukizwa,, pia ujue hata magonjwa ya zinaa yana dalili kama izo so unaweza kukuta ni ulipitia njia ya mtu mwenye gono na wewe umeipata ndio sababu unahisi hizo dalili zen Una conclude kuwa ni Ngoma mkuu
Zimepita wiki mbili na siku Kama tatu kiongozi
 
Mkuu, ningekushauri upitie wikipedia, upate maelezo ya kina:

The window period is the time from infection until a test can detect any change. The average window period with HIV-1 antibody tests is 25 days for subtype B. Antigen testing cuts the window period to approximately 16 days and nucleic acid testing (NAT) further reduces this period to 12 days.[2]
 
Ndugu yangu Jana nimejikokota kwenda saloon kunyoa.. Lakin ghafla nikaghairi Kwa nilichokiona.. Kichwan Kwa mtu wa mwisho kunyolewa alikuwa anatokwa na vijidamu kidevuni... Na vile kapakwa poda ndo damu naziona clearly...
Nikajiwa na wazo la kusema Hivi UKIMWI Kama Jamaa anao na kanyolewa hvyo damu zinatoka, je Mimi ninaefuata kunyoa niko katika hali gani?
Nikaamua kurudi tu nyumban Nikaghairi kabisa.. Mpka saiz niko cjui la kufanya....
Swali langu ni je!
UKIMWI saluni upo au haupo Kwa style niliyoiona Jana?
 
ngoja waje mkuuu,,
 
Hofu ni moja ya vitu vinavyoua, cha msingi ile mashine aipake dawa, ila kama umeona damu damu bora uende kwingine ambapo hujaona damu damu, ila mashine ya kunyolea aipake kwanza ile dawa.
 
Maziwa ya mama yana virusi vya UKIMWI. Na mtoto anaweza kupata maambukizi ya VVU kwa kunyonya maziwa ya mama. Ndio maana kwa mama ambaye ana uwezo njia nzuri ya kuzuia maambukizi ni kumpa maziwa ya chupa

Mate yana kiasi kidogo cha VVU kuliko majimaji mengine ya mwili
Mm nilishatumia kipimo cha mate mbona chap tu kinaleta majibu
 
Ni mda Gani virusi vinaweza kuonekana kwenye vipimo Toka mtu aambukizwe. (Kama swali lishajibiwa quote post yake hapa)
 
Kuhusu ARV pia ninaona wagonjwa wa homa ya ini wanapewa, wanasema kwa sababu nao wana virus HCV or HBV, sasa wakamwambia mgonjwa asubiri virus (viral load iwe zaidi ya 1000 , ila jamaa akanifuata akaniambia hilo swala mwaka jana ila kwa kipindi hicho viral load walivyompima ilikuwa 935, nikampa ushauri wa chakula cha kumpa mgonjwa, ila mwanzoni sikujua kama watatekeleza basi wakaenda kumpa mgonjwa, na mgonjwa alitumia kwa takribani kama miezi minne na baadaye mwezi november wakaenda kupima hapo Muh...... hospitali ili waone sasa wameshafikia kiwango walichokisubiri ili wampe ARV, wakakuta viral load imeshuka mpaka 224 , na madaktari wakamwambia endelea kutumia njia unayotumia, na wakamwambia aje kupima tena baada ya miezi mitatu waangalie kitakachotokea, cha kusikitisha mgonjwa alipoona mambo yameonyesha matokeo mazuri anaanza kuvunja masharti ya lishe/chakula nilichomshauri.
Ndio hali ilivyo hata kwa watu waliowengi hawamalizi dozi matokeo yake matatizo yanakuwa makubwa baadaye.
Ushauri wangu, unapoanza dozi, basi umalize dozi isiachie njiani kwa kuona inafanya kazi na ukadharau ugonjwa.
Cd4 ni nini ? Zifikie ngapi ili uanze kutumia ARV ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.iv vijiko au vikombe vinavyotumika kwa mama ntilie vinaweza kumuambukiza mtu VVU endapo kijiko au kikombe hicho kakitumia muathirika??.

2.ktk upishi mate ya muathirika yanaweza ruka kwa bahati mbaya na kuingia kwenye chakula na mama ntilie akaendelea kupika maana ni vigumu kumwaga chakula kwa kuhofia hasara..

Je, walaji ( wateja) wanaweza kuambukizwa kwa VVU??
 
Naomba niende moja kwa moja kwenye topic.
Nilidate na mtu mwezi 3 ..baaada ya hapo nikaambiwa ameasilika japo tulipima tukawa sawa wote.

Siku moja nipo na best yangu akawa ananisomea dalili za HIV ndipo hali yangu ili change nikawa na utandu mdomon kama fungus nikajitibu zikapona, baada ya hapo nikawa si uelewi mwili kama malaria vile ni kaenda kupima nikakutwa na malaria 3 na UTI ....nikatibu tena kwa sindano sasa tokea hapo na chemka mgongoni maeneo ya uti wa mgongo mara maeneo ya shingoni au kiunoni na kichwa kinauma Nikaona isiwe tabu nikapima HIV ....nikatumia HIV test ikaniletea mstari mmoja kwa juu.... Ila dalili ni hizo hizo nika rudia tena kupima mstari ni ule ule.

Nikaamua kwenda kwa doctol ili nipate ushauli labda opration ilinizulu nae akaniambia nipime kisukari.. Ndo nadhidi kuchanganyikiwa kabisa.

Je kuna alieugua HIV ana dalili kama hizi zangu au ni metumiwa mapepo.

Kipimo ni hicho hapo .
IMG_20190622_210435.jpeg
 
Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza

Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa

Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea

Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona

Kuwa makini
 
Back
Top Bottom