VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

kwanini kuna dawa ambazo zipo classified kulingana na uwezo wa kifedha kwa waathirika?kwa mfano dawa wanazotumia matajiri au viongozi zipo tofauti na zile za kujipanga foleni kwenye CT centers.
 
kwanini kuna dawa ambazo zipo classified kulingana na uwezo wa kifedha kwa waathirika?kwa mfano dawa wanazotumia matajiri au viongozi zipo tofauti na zile za kujipanga foleni kwenye CT centers.
Kumbuka hata panadol zinatofuti, kuna zile unapewa Hospitali nyingi mno lakini wanunua kwa TZS 1000 na kuna zile Panadol zipo mbili tu unanunua kwa 1000TZS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.

Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Tuamini kuwa wewe ni bingwa wa suala la UKIMWI, maswali kadhaa umeulizwa lakini hujatoa majibu ya kuridhisha. Maswali ya msingi:
1) Kuna kirusi kinacho haribu/angamiza kinga ya mwili ya binadamu kilichogunduliwa?
2) Kama kipo kimegunduliwa na nani?
3) Kama kipo kinaishi katika mazingira gani mwilini?
4) Je, kipimo cha UKIMWI kina uhakika wa asilimia ngapi?
5) Hicho kipimo kinapima nini hasa, kiasi cha kinga ya mwilini, kiwango cha virusi, au?
6) Je, kuna uhakika gani kuwa dawa za kufubaza maambukizi ya UKIMWI hazichangii kuua kinga ya mwili?
 
Ni kweli miwaya inahahamia kichwani lakini kumbuka Ukimwi siyo ugonjwa ila kigonjwa chochote nyemelezi chaweza kuchukua nafasi na kusababisha hali mbaya mpaka kichwani. Kuhusu kutembea na mwenye VVU halafu usipate hii ni kwa watu wachache sana ambao naweza sema miili yao haina seli ambazo VVU vinaweza kupenya hivyo mtu yoyote wa aina hii awe me au ke hawezi kukwaa miwaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuamini kuwa wewe ni bingwa wa suala la UKIMWI, maswali kadhaa umeulizwa lakini hujatoa majibu ya kuridhisha. Maswali ya msingi:
1) Kuna kirusi kinacho haribu/angamiza kinga ya mwili ya binadamu kilichogunduliwa?
2) Kama kipo kimegunduliwa na nani?
3) Kama kipo kinaishi katika mazingira gani mwilini?
4) Je, kipimo cha UKIMWI kina uhakika wa asilimia ngapi?
5) Hicho kipimo kinapima nini hasa, kiasi cha kinga ya mwilini, kiwango cha virusi, au?
6) Je, kuna uhakika gani kuwa dawa za kufubaza maambukizi ya UKIMWI hazichangii kuua kinga ya mwili?
1. Jibu liko wazi Kirusi hicho kinaitwa HIV
2.Mwanzoni mwa miaka ya 80, karibu maabara zote kubwa Ulaya zilikuwa kwenye mahangaiko ya kutafuta kilichokuwa kina hisiwa kuwa ndicho kisababishi cha UKIMWI (AIDS). Mwaka 1983 nchi ya Ufaransa ilikuwa ya kwanza kugundua hao virusi katika maabara za Institut Pasteur kirusi huyo aliitwa Lymphadenopathy-Associated Virus, or LAV. April 1984 huko Marekani kwenye Taasisi ya Kansa( the National Cancer Institute (NCI)) pia waliweza kumtambua kirusi huyo wa UKIMWI wao wakamwita HTLV-III. Yalitokea malumbano makali miongoni mwa wanasayansi Baada ya nchi ya Marekani kutangaza kuwa imekuwa ya kwanza kugundua virusi vya UKIMWI. Ukweli ilipaswa ijulikane kuwa ni UFARANSA NA MAREKANI. Hata hivyo. Mwaka 1987 Taasisi inayohusika na kutoa majina kwa virusi (International Committee on Taxonomy of Viruses) iliamua kwamba virus huyo aisee HUMAN IMMUNODEFICIENCY VIRUS (HIV)
3.HIV anaishi kwenye selli nyeupe za damu T- cell lymphocytes
4.Hiyo inaitwa sensitivity and specificity zote ziko 95 na 100 % resp.
5.Kuna vipimo vya aina tofauti vingine vinapima RNA za Virusi na vingine vinapima kinga ya mwili dhidi ya virusi vya UKIMWI
6.Uhakika ni pale ambapo mgonjwa akianza kutumia CD4 zinapanda
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom