Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 28,810
- 39,018
Tufarijiane tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh 😳😳😳😳😳😳We jamaa, me nina best angu ana 30 yrs ashafikisha mademu 1500 alowapitia.
Afadhali kabisa!Njia pekee na rahisi kukwepa ngoma ni kugoma kupima
Nimeifanya bila kujua na +Partners Mara kW Mara kumbe ndomana nlipona (usilalie waz mlango bahat yng) thanks godKwanza kabisa kama ni demu mpya na hauna uhakika na afya yake, basi hakikisha unamfanyia foreplay ya maana ili aweze kulowana vya kutosha ili kuondoa michubuko ya hovyo hovyo.
Pili usitumie muda mwingi hadi ule unyevu nyevu ukaanza kukauka. Usirudie zaidi ya raundi moja hii itakufanya uonekane dhaifu lakini utabaki salama. Ni mara chache sana kukuta mwanamke au msichana kumkumbusha mwenzi wake kuhusu kutumia condom hivyo hii ndio mbinu yangu ya kujiepusha na UKIMWI.
Onyo: Do it at your own risk, ukiachwa na wala chips usije kunitupia lawama
Wachache sana wenye moyo kama wako, hata demu wangu nasikia anatoa kavu kavu tu.
Taarifa zinanifikiaumejuaje mkuu kama anatoa kavu kavu
Taarifa zinanifikia
Kuna ulazima gani wa kutumia vidonge kila siku? Kwa nini muathirika asitibiwe ugonjwa anao umwa tu mfano kama ana kikohozi?Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Virusi wa UKIMWI wana uwezo wa moja kwa moja wa kushambulia mfumo wa fahamu hasa ubongo. Hivyo wakati mwingine mtu anaweza kuumwa matatizo ya akili kutokana na virus hawa. Mara nyingi wakianza kutumia dawa na kinga kupanda Ile ugonjwa wa akili unaponaNi kweli ngoma huwa inaamia kichwani ?