Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
kijana kamezeshwaSasa ulikua unamuuliza ujibu kiswahili au english ulimaanisha nini? Au english ni simple sababu una google tu?
kijana kamezeshwaSasa ulikua unamuuliza ujibu kiswahili au english ulimaanisha nini? Au english ni simple sababu una google tu?
Chukulia migodi wa Bulyanhulu, aliyegundua ni mwananzengo tu aliona dhahabu chini ya mtu ulioanguka, wakati geologist walishapita na hawakuona deposit ya maana.Sasa kumbe jibu pia unalo.
Sina hapa karibu kiufupi alihusika sana na ugunduzi wa tanzanite, ungeelewa kwanini hakuna jiolojia alie vumbua kama kuvumbua.
Chukulia migodi wa Bulyanhulu, aliyegundua ni mwananzengo tu aliona dhahabu chini ya mtu ulioanguka, wakati geologist walishapita na hawakuona deposit ya maana.
Pia ushasikia dhahabu imegunduliwa shuleni etc, ndo nachokiongelea.
Unataka ku justify nini kwa hili unaloongelea hapa? Ya kuwa Tz geologist hawaezi kufanya exploration na kugundua kuwa kuna deposit somewhere?Chukulia migodi wa Bulyanhulu, aliyegundua ni mwananzengo tu aliona dhahabu chini ya mtu ulioanguka, wakati geologist walishapita na hawakuona deposit ya maana.
Pia ushasikia dhahabu imegunduliwa shuleni etc, ndo nachokiongelea.
Kama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.
Asanteni sana
View attachment 371087
Naomba nikujibu kiasi kulingana na uelewa wangu mdogo wa hili jambo...Nina kijana kahitimu na sina mashaka na ufaulu tunaousubiri wa O'level mwaka huu,na always amenisumbua sana kuwa anatamani awe Geologist. Binafs kwa vile huko sikupitia kabisa, nimejarib kuulizia watu mbalimbali hasa wasomi km Walimu wa Sekondari,lkn ni kama wananitisha kuhusiana na hilo. Wanasema ada zake ni kubwa na pia vyuo vyake hapa Tz hakuna hadi nje,na serikali haihusiki na sponsorship yoyote na hata ajira zake ni ngumu kupatikana.
Nimefrahi kuliona hili leo hapa!
1. Naomba kujua ukweli,ugumu au urahisi wa kijana kutimiza ndoto yake na tupitie njia zipi.
2. Application ya geology ni ipi?
3. Je,ni kweli kuwa inamchukua mtu zaidi ya miaka 20 kusoma tu kabla kuanza kazi?
**Mtaalamu nisaidie unijibu maswali hayo ili nione km kijana ataifikia hiyo ndoto au basi nianze kumkaririsha udaktari ambao yeye namuona si chaguo lake****Ahsante!
Sehemu nyingi sana
Unamfahamu marehemu Msindai,Mutakyahwa na Kapilima?Sehemu nyingi sana
Aina gani ya hilo jiwe nimelikuta pahala.View attachment 1171645View attachment 1171646
Geology nzuri ila naona kama haina soko kwa sasa