Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Sasa kumbe jibu pia unalo.

Sina hapa karibu kiufupi alihusika sana na ugunduzi wa tanzanite, ungeelewa kwanini hakuna jiolojia alie vumbua kama kuvumbua.
Chukulia migodi wa Bulyanhulu, aliyegundua ni mwananzengo tu aliona dhahabu chini ya mtu ulioanguka, wakati geologist walishapita na hawakuona deposit ya maana.
Pia ushasikia dhahabu imegunduliwa shuleni etc, ndo nachokiongelea.
 
Ulifunguliwa mwaka gani? Unajua hata geologist akikuta gold sehem yeye sio mchimbaji.. Mgodi unahitaji capital ndio maana wawekezaji wanakuja.

Na mara zote wazawa wa eneo husika ndio wa kwanza kuona uwepo wa gold hadi pale wanapo report kwa wale wazungu wa kwanza kwanza kuwepo
Chukulia migodi wa Bulyanhulu, aliyegundua ni mwananzengo tu aliona dhahabu chini ya mtu ulioanguka, wakati geologist walishapita na hawakuona deposit ya maana.
Pia ushasikia dhahabu imegunduliwa shuleni etc, ndo nachokiongelea.
 
Chukulia migodi wa Bulyanhulu, aliyegundua ni mwananzengo tu aliona dhahabu chini ya mtu ulioanguka, wakati geologist walishapita na hawakuona deposit ya maana.
Pia ushasikia dhahabu imegunduliwa shuleni etc, ndo nachokiongelea.
Unataka ku justify nini kwa hili unaloongelea hapa? Ya kuwa Tz geologist hawaezi kufanya exploration na kugundua kuwa kuna deposit somewhere?

Hata hiyo ya Bulyanhulu huyo msukuma kuona wa kwanza haikumaanisha kuwa ndio geologists hawakufanya kazi tena thereafter.

Kuna drilling na quantification ya resource iliendelea hadi mgodi kuwa pale ulipo ukifanya production. Hii yote ni kazi ya geologists.
 
Nataman kusoma masters Na ni deal na geography.... Asa upande wa physical... Nishauli
Boss..
 
Nina kijana kahitimu na sina mashaka na ufaulu tunaousubiri wa O'level mwaka huu,na always amenisumbua sana kuwa anatamani awe Geologist. Binafs kwa vile huko sikupitia kabisa, nimejarib kuulizia watu mbalimbali hasa wasomi km Walimu wa Sekondari,lkn ni kama wananitisha kuhusiana na hilo. Wanasema ada zake ni kubwa na pia vyuo vyake hapa Tz hakuna hadi nje,na serikali haihusiki na sponsorship yoyote na hata ajira zake ni ngumu kupatikana.
Nimefrahi kuliona hili leo hapa!
1. Naomba kujua ukweli,ugumu au urahisi wa kijana kutimiza ndoto yake na tupitie njia zipi.
2. Application ya geology ni ipi?
3. Je,ni kweli kuwa inamchukua mtu zaidi ya miaka 20 kusoma tu kabla kuanza kazi?
**Mtaalamu nisaidie unijibu maswali hayo ili nione km kijana ataifikia hiyo ndoto au basi nianze kumkaririsha udaktari ambao yeye namuona si chaguo lake****Ahsante!
 
The Discovery of Oil and Gas in Tanzania created a demand of Local Experties In Tanzania. Yet Govt can not afford to rely on experties

Required

Based on the Discovery of Oil and Gas In Tanzania. How can Government Devise a Plan for qualified Human resources in the Energy Sector?????
Kama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.

Asanteni sana
View attachment 371087

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina kijana kahitimu na sina mashaka na ufaulu tunaousubiri wa O'level mwaka huu,na always amenisumbua sana kuwa anatamani awe Geologist. Binafs kwa vile huko sikupitia kabisa, nimejarib kuulizia watu mbalimbali hasa wasomi km Walimu wa Sekondari,lkn ni kama wananitisha kuhusiana na hilo. Wanasema ada zake ni kubwa na pia vyuo vyake hapa Tz hakuna hadi nje,na serikali haihusiki na sponsorship yoyote na hata ajira zake ni ngumu kupatikana.
Nimefrahi kuliona hili leo hapa!
1. Naomba kujua ukweli,ugumu au urahisi wa kijana kutimiza ndoto yake na tupitie njia zipi.
2. Application ya geology ni ipi?
3. Je,ni kweli kuwa inamchukua mtu zaidi ya miaka 20 kusoma tu kabla kuanza kazi?
**Mtaalamu nisaidie unijibu maswali hayo ili nione km kijana ataifikia hiyo ndoto au basi nianze kumkaririsha udaktari ambao yeye namuona si chaguo lake****Ahsante!
Naomba nikujibu kiasi kulingana na uelewa wangu mdogo wa hili jambo...

1. Elimu ya Geology inaendana kiasi kidg na elimu za Engineering hivo baadhi ya course ni zina ugumu kihasi,lkn pia kwa kua ndani ya nchi vyuo vinavotoa course ni vichache sana...

Universities ni mbili tu...
*UDSM-Ambapo utapata course 4 za geology
i. Bsc with geology( geography,physics,chemistry,maths)
Ii. Bsc in geology
Iii.Bsc in eng geology
Iv. Bsc in petroleum geology

Na jumla ya intake yote ya mwaka ni chini ya wanafunzi 100.

*UDOM- Ambapo utapata course moja ya geology
I. Bsc in applied Geology.

Ambapo jumla pia ya intake ni chini ya wanafunzi 100, hivo kwa mwaka Tanzania nzima ni wanafunzi chini ya 200 tu ndio wanapata nafasi ya kujiunga elimu ya chuo kikuu ktk course za geology,changamoto ipo hapo maana perfomance inapaswa kua kubwa kidogo hasa ktk masomo ya Physics na Hesabu...japo Geography na Chemistry pia yana support.

Colleges ni mbili tu pia....
i. MRI DODOMA (MINERAL RESOURCES INSTITUTE)
hawa wanatoa course za diploma. Hawa wamekua wakubwa now wana Campus 2 moja dodoma na nyingne Shinyanga/tabora not sure.

ii. Second college jina sinalo kichwan vzr,but kipo Shinyanga

2.Swali la pili mkuu Geology ni Elimu ya miamba,yani kuanzia ardhini kwenda chini...kote huko kinachotokea na kuendelea kutokea kinahusika na Geology. Hivo chochote kinachohusu miamba duniani ni field au Ni jambo lililo chini ya Geology Discipline. (Kwa kifupi ni Elimu ya miamba na madini)

3. Miaka 20 inategemea nia yako ni kufika ngazi gani ya elimu mkuu...lkn kwa haraka

UDSM- 4YRS kwa 1st degree
UDOM- 3YRS kwa 1st degree
COLLEGES- 3yrs kwa diploma

Nafikiri kwa kiasi flani nmekusaidia mkuu! Panapo shaka ktk uandishi wangu unaweza niuliza au ukakosoa kwani mmeandika na sijapata muda wa ku Edit... ni onetime text writting.

Asante.
 
Aina gani ya hilo jiwe nimelikuta pahala.
IMG-20190803-WA0021.jpeg
IMG-20190803-WA0019.jpeg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom