Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Picha tuoneNitafute PM mkuu nina biashara ya Opal gemstone unipe ramani
Picha tuoneNitafute PM mkuu nina biashara ya Opal gemstone unipe ramani
Ndiyo ipo dom... GST - gelogical survey of tanzaniaJe kuna lab ipo Tz inahusika na geology
+ dsm mwanza zipo kubwa sana tu eg seamicJe kuna lab ipo Tz inahusika na geology
Japo naona seamic wanadeal sana na chemical processing kuliko geology itself+ dsm mwanza zipo kubwa sana tu eg seamic
Japo naona seamic wanadeal sana na chemical processing kuliko geology itself
Pamoja sanaNdiyo ipo dom... GST - gelogical survey of tanzania
Pamoja sana
HGL unaweza soma geology???Kama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.
Asanteni sana
View attachment 371087
Nilitegemea hii elimu ingekufanya ujue/uvumbue sehemu ambayo inamadini yenyewe thamani, ya kuchimba hata kwa jembe.Nimeanzisha uzi huu kuwapata watu kama nyie. Ikiwezekana tupeane channel.
Za machimbo mzee
AlexanderiteJe, kuna aina yoyote Ya madini ambayo ni yanasadikika kuwa na thamani kuliko almasi na dhahabu lakini hayajawahi kuchimbwa wala kupatikana mahali popote???
Kwanini mpaka sasa hakuna mjeolojia hata mmoja aliyegundua migodi TZ?!
Unaweza nambia migodi yote mikubwa ilianzaje anzaje!? Japo wanaojiita majiologisti walipita na hawakuona deposit yyt!?Mgodi haugunduliwi
Unaweza nambia migodi yote mikubwa ilianzaje anzaje!?
Kwanini unaogopa kuiweka hapa! Najua TZ yote ishafanyiwa exploration na Ramani zipo pale GST.Mgodi sio kama kufungua kioksi..
Tafuta historia ya akina ali juuya watu
Kwanini unaogopa kuiweka hapa! Najua TZ yote ishafanyiwa exploration na Ramani zipo pale GST.
Sasa ulikua unamuuliza ujibu kiswahili au english ulimaanisha nini? Au english ni simple sababu una google tu?Ningejibu kwa kiswahili ila bahati mbaya elimu niliyoipata sijafundishwa kwa kiswahili
Sedimentary rocks are formed through the gradual accumulation of
sediments.
for example, sand on a beach or mud on a river bed. As the sediments are buried they get compacted as more and more material is deposited on top.
Eventually the sediments will become so dense that they would essentially form a rock . This process is known as lithification .
Igneous rocks are rocks which have crystallized from a melt or
magma.
The melt is made up of various components of pre-existing rocks which have been subjected to melting either at subduction zones or within the Earth 's mantle. The melt is hot and so passes upward through cooler country rock .
As it moves it cools and various rock types
will form through a process known as fractional crystallization .
Igneous rocks can be seen at mid ocean ridges, areas of island arc volcanism or
in intra-plate hotspots .
Metamorphic rocks are rocks which once existed as igneous or
sedimentary rocks but have been subjected to varying degrees of
pressure and heat within the Earth's crust.
The processes involved will
change the composition and fabric of the rock and their original nature is often hard to distinguish. Metamorphic rocks are typically found in areas of mountain building .
View attachment 371090
Haya majibu simple sana,haipimi uivaji wake,labda kwa wewe kilazaMkuu hapo umeiva
ha ha haHaya majibu simple sana,haipimi uivaji wake,labda kwa wewe kilaza