KiswahiliNikujibu kwa kiswahili au in english?
Mkuu,kuna sehemu moja Iringa,kuna mawe yana vitu kama Vioo kwa ndani...Tunaomba ufahamuKama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.
Hasanteni sana
View attachment 371087
Ningejibu kwa kiswahili ila bahati mbaya elimu niliyoipata sijafundishwa kwa kiswahiliKiswahili
Geology ni very wide term. Ina fields nyingi sana. Kama hydrogeology, paleontology, marine geology. Na nyinginezo.Geology inausiana na nn??
Hivyo sio vioo ndugu. Ni very small fine particles. Zinazotokana na pale miamba iliyoyeyuka inaganda kwa haraka sana ndo inasababisha kutokea hali hiyo. ( inaitwa glassy texture ) vilevile hiyo inaweza kuwa ni inclusion ya monera mbalimbali ambazo zinaonekana kama vioo kutokana na bright colour.Mkuu,kuna sehemu moja Iringa,kuna mawe yana vitu kama Vioo kwa ndani...Tunaomba ufahamu
Ngoja nimsaidie,kwa kifupi hakuna clear geology ya Tanzanite.Naomba kujua kuhusu madini ya tanzanite me nimechimba sana ila hadi leo nna maswali huwa najiuliza labda wewe utanipa jibu...
1.nini kinachangia haya madini kujiumba au yaliwekwa tu?nasema labda yaliwekwa sababu unapokutana na pocket huwa unakuta vitu kama sufi na lile jiwe lipo hapo makarne mengi.
2.katika tanzanite kuna tanzanite unakuta imeungua au unakuta sio top color yaani limefifia na unaweza kukuta lingine limeiva yaani very very good
Mkuu hapo umeivaHivyo sio vioo ndugu. Ni very small fine particles. Zinazotokana na pale miamba iliyoyeyuka inaganda kwa haraka sana ndo inasababisha kutokea hali hiyo. ( inaitwa glassy texture ) vilevile hiyo inaweza kuwa ni inclusion ya monera mbalimbali ambazo zinaonekana kama vioo kutokana na bright colour.
DuuuhJe, unamfahamu Prof. Muhomgo?
Kule anakotegemea kucopy na kupaste material zote zimeandikwa kwa kingereza.sasa jaman kma ulifundshwa kingereza ndo hata kumix na kiswahili ushindwe??,.. TOO MUCH
Please please can you tell us how classical physics illifel kuelezea geological time scale in relation to basin formation and sedimentation of sedimentary ricks....shuka ung'eng'eKama ni mwanafunzi, au unatarajia kusoma Geology ila hujui uanzie wapi. Uliza chochote nitakusaidia.
Hasanteni sana
View attachment 371087
Mimi namfahamu Profesa Muhongo na Dr Dalai Kafumu.Je, unamfahamu Prof. Muhomgo?