Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Asante sana mkuu kwa kuanzisha uzi huu ambao kimsingi ni uzi ambao utakufanya ujikubali kwa kadri utakavyojib maswali ya critical asked qns lakini pia ni uzi huu huu utakaokufanya uprove failure elimu yalo...

Naomba nikulize kitu ambacho kinanitatiza na ukikijibu vizuri kabsaaa nitakupa zawadi nono sana mkuuu...

1.kwanini wanageolojia wengi wanapenda kusoma the earth as with its components ,minerals.rocks as well as type of rocks and the way how they were formed..??
Actually minerals na rocks are formed in different shapes and the structure they appear..but the question comes ...
Why though the earth exists with all it properties concerned formed the laws governing their nature how they were formed...namanisha kwamba formation ya miamba hiyo na madini hayo ni kwa misingi ya sheria na taratibu zilipelekea kupatikana lakini ni kwanini dunia hii ina umbo la duara..??

What force(s) governs the formation of earth's crust shaped falling to its spherical nature aparty from other shape though the earth itself governs the formation of other its components into different structures...??

2.kwnin lakini ..?? Hebu jitutumue mkuu juu ya orijinal nature formation of the earth's structure...
We bana maswali yako mengine mbona magumu sana? It takes some one like Galileo to answer those difficult questions.

Utamfanya mtaalamu atumie muda mwingi kukutafutia jibu mtu mmoja na sisi wana Apolo kuna kaelimu ka dezo tunakategemea hapa.
 
Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.

Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.
Kuna mgodi gani ambao upo kwenye mozambique belt?
 
Mkuu,kuna sehemu moja Iringa,kuna mawe yana vitu kama Vioo kwa ndani...Tunaomba ufahamu
Vitu kama vioo, kwa haraka hizo zinaweza kuwa quartz mineral, hizi madini huwa zinatumika katka saa na viberit vya gas katika uwezo wake wa kuwa na umeme(pyroeletric) hayana thamani saana ndo maana yanapatikana maeneo mengi tu
 
1.kwanini wanageolojia wengi wanapenda kusoma the earth as with its components ,minerals.rocks as well as type of rocks and the way how they were formed..??

Geology is very wide. But in general its all about the earth with its components, na all physical processes.

Kwa wanaosoma degree ya kwanza lazima ahusike na vitu vyote hivyo.

Then masters na kuendelea ndo unaweza kuspecify at a certain field.
Anaweza achague asome nini
 
We bana maswali yako mengine mbona magumu sana? It takes some one like Galileo to answer those difficult questions.

Utamfanya mtaalamu atumie muda mwingi kukutafutia jibu mtu mmoja na sisi wana Apolo kuna kaelimu ka dezo tunakategemea hapa.
So mbona umesema watu waulize swali lolote kuhusu geology wakati haupo compntent kujibu maswali???
 
Mawe yako katika aina kuu tatu, sedimentary, igneous na metamorphic

Katika aina izo tatu igneous ni aina mama ambayo inasababisha rocks nyngine, igneous inatokea kukiwa na volcanic yaani ule uji uji wa moto uki toka na kuganda eidha nje ya uso wa dunia au ndani (intrusives&extrusives)
Sedimentary inatokea endapo ivneous inapo kua weathered na maji au wanyama n. K
Metamorphic inatokea kama katika ukanda wenye sedimentary utaunguzwa na uwepo wa magma au pressure kubwa (burrial pressure abt 2kbar na kuendelea)

Basics ni hivyo.. Asante
Hasante kwa kunisaidia mkuu
 
Geology is very wide. But in general its all about the earth with its components, na all physical processes.

Kwa wanaosoma degree ya kwanza lazima ahusike na vitu vyote hivyo.

Then masters na kuendelea ndo unaweza kuspecify at a certain field.
Anaweza achague asome nini
Eeeenheee..safi..endelea na hilo la chini unipe mwanga....
 
Ni madini gani yanayo ambatana na tanzanite huko mererani?
Tanzanite ipo katika rangi mbili
Blue/violite formular yake ni
(Ca 2 Al 3 (SiO 4)(Si 2O 7)O(OH)) + (Cr,Sr)

Kwahiyo hizo rangi inategemea na mchanganyiko wa hizo component.

Ukiona rangi tofauti na hizo basi itakuwa ni weathering process.
 
Bado hujajibu ipasavyo,Zoethite ni nini?
 
Formation ya Gneiss?
Gneiss ni highest grade ya regional metamorphism.
Ambayo imekuwa formed under high temperature and high pressure.

From slate, phylite, schist, gneiss, migmatite.

Zimepangwa kihivo from low to high
 
Gneiss ni highest grade ya regional metamorphism.
Ambayo imekuwa formed under high temperature and high pressure.

From slate, phylite, schist, gneiss, migmatite.

Zimepangwa kihivo from low to high
GRANITE ukiwa subjected under high temperature and pressure inaform rock gani?
 
What force(s) governs the formation of earth's crust shaped falling to its spherical nature aparty from other shape though the earth itself governs the formation of other its components into different structures...??

Mada yako ni ndefu sana kuijibu. Ila umenikumbusha somo flani linaitwa solid earth geophysics.

Humo mambo ya gravity na force yanahusika
 
Back
Top Bottom