Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Mr Geo youngkato nilipewa hii hand specimen nikarecognise kuwa ni olivine(greens) na garnets(reddish)..najiuliza is it possible hizi minerals kutokea pamoja? I failed to interpret the geology!! Naomba unambie.

Hii ni kitu ya kawaida kwenye mawe, shimo moja ninawezakuwa na mawe mchanganyiko, na hasa white Felisper pia hujitokeza.
 
Naomba kujua kuhusu madini ya tanzanite me nimechimba sana ila hadi leo nna maswali huwa najiuliza labda wewe utanipa jibu...
1.nini kinachangia haya madini kujiumba au yaliwekwa tu?nasema labda yaliwekwa sababu unapokutana na pocket huwa unakuta vitu kama sufi na lile jiwe lipo hapo makarne mengi.
2.katika tanzanite kuna tanzanite unakuta imeungua au unakuta sio top color yaani limefifia na unaweza kukuta lingine limeiva yaani very very good
Ieleweke kwamba minerals (madini ) yote yametokana na pale molten magma (mantle) inapobadirika kuwa solid (inapoganda) ndo madini yote huwa yanatokea.

Sasa hizo rangi ni kutokana na sababu mbali mbali, mojawapo ikiwa ni inclusion of other minerals (madini ya rangi tofauti yanakuwa ndani ya madini mengine )ndo maana rangi zinakuwa tofauti.

Sababu nyingine ni kutokana na weathering proces nayo inaweza kusababisha kubadirika kwa rangi.
(Madini ya hivo yanaitwa gemstone)
 
Hii ni kitu ya kawaida kwenye mawe, shimo moja ninawezakuwa na mawe mchanganyiko, na hasa white Felisper pia hujitokeza.
Pamoja na kujua kwamba minerals nyingi zinatambuliwa na Physical properties, na physical properties zipo nyingi ikiwa pamoja na hizo habit au form {shape}na color za minerals, ..lakini..
Hapo bado ujaconclude kwa kusema INAWEZEKANA kuwa shimo moja kuwa na mawe mchanganyiko kwa maana umefanya closest possible identification.
 
Please please can you tell us how classical physics illifel kuelezea geological time scale in relation to basin formation and sedimentation of sedimentary ricks....shuka ung'eng'e
Hilo swali nshawahi kukutana nalo mara nyingi. Ngoja nijikumbushe kidogo badae ntakupa exactly answers
 
Mr Geo youngkato nilipewa hii hand specimen nikarecognise kuwa ni olivine(greens) na garnets(reddish)..najiuliza is it possible hizi minerals kutokea pamoja? I failed to interpret the geology!! Naomba unambie.

Ndio its possible. Hii inatokana na solid solution. Inapokuwa inatokea temperature inabadirika but pressure inabaki constant. At the end zote zinakuwa stable at the same condition. Thats why you can observe such condition
 
Inasemekana katikati ya dunia ..kati...Core kuna Moto mkali sana.
Sasa inakuwaje kina cha bahari maji ni bardi
Ndio maji ni ya baridi lakini katikati ya bahari kuna sehemu zinaitwa mid oceanic ridge. Hapo kuna active tectonic na joto lake lipo juu zaidi ukiringanisha na sehemu nyingine za bahari. This is one of the evidence kwamba plates are moving
 
Je kuna uwezekano wa kugundua gold deposit ambayo inaweza kuwa mgodi maeneo ya Dodoma?
Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.

Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.
 
Hii ni kitu ya kawaida kwenye mawe, shimo moja ninawezakuwa na mawe mchanganyiko, na hasa white Felisper pia hujitokeza.
Hasante kwa kunisaidia. But hujamwambia how this can occur.
 
Mkuu natumia knowledge yangu niliyoipata miaka minne.
Asante sana mkuu kwa kuanzisha uzi huu ambao kimsingi ni uzi ambao utakufanya ujikubali kwa kadri utakavyojib maswali ya critical asked qns lakini pia ni uzi huu huu utakaokufanya uprove failure elimu yalo...

Naomba nikulize kitu ambacho kinanitatiza na ukikijibu vizuri kabsaaa nitakupa zawadi nono sana mkuuu...

1.kwanini wanageolojia wengi wanapenda kusoma the earth as with its components ,minerals.rocks as well as type of rocks and the way how they were formed..??
Actually minerals na rocks are formed in different shapes and the structure they appear..but the question comes ...
Why though the earth exists with all it properties concerned formed the laws governing their nature how they were formed...namanisha kwamba formation ya miamba hiyo na madini hayo ni kwa misingi ya sheria na taratibu zilipelekea kupatikana lakini ni kwanini dunia hii ina umbo la duara..??

What force(s) governs the formation of earth's crust shaped falling to its spherical nature aparty from other shape though the earth itself governs the formation of other its components into different structures...??

2.kwnin lakini ..?? Hebu jitutumue mkuu juu ya orijinal nature formation of the earth's structure...
 
Pamoja na kujua kwamba minerals nyingi zinatambuliwa na Physical properties, na physical properties zipo nyingi ikiwa pamoja na hizo habit au form {shape}na color za minerals, ..lakini..
Hapo bado ujaconclude kwa kusema INAWEZEKANA kuwa shimo moja kuwa na mawe mchanganyiko kwa maana umefanya closest possible identification.
Nshajibu swali lako mkuu
 
sijui na hili linakuhusu lkn kama unajua nijibu.
mawe yanaform vipi..?
Mawe yako katika aina kuu tatu, sedimentary, igneous na metamorphic

Katika aina izo tatu igneous ni aina mama ambayo inasababisha rocks nyngine, igneous inatokea kukiwa na volcanic yaani ule uji uji wa moto uki toka na kuganda eidha nje ya uso wa dunia au ndani (intrusives&extrusives)
Sedimentary inatokea endapo ivneous inapo kua weathered na maji au wanyama n. K
Metamorphic inatokea kama katika ukanda wenye sedimentary utaunguzwa na uwepo wa magma au pressure kubwa (burrial pressure abt 2kbar na kuendelea)

Basics ni hivyo.. Asante
 
Back
Top Bottom