Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

NIELIMISHE KUHUSIANA NA TANZANITE



je ni jabali gani linakuwa na tanzanite na mfumo wake wote kwenye eneo linalokuwa na madini upo vipi?

Vip kuusu elimu hii ya uchimbaji wa tanzanite ilikuwepo kabla ya tanzanite kugundulia!! Au ipo darasani ikiwa imekamilika kabla ya ugunduzi wa tanzanite, au bado tanzanite inachimbwa na utafiti wa miamba yake Bado unaendelea?

Swali la mwisho
Nikwanini baadhi ya madini ya tanzanite yanakua yameungana na green garnet yaani unakuta upande mmoja tanzanite upande wa pili green garnet?
 
Tanzanite ilijitengeneza kutokana na mfumo wa joto Kali na namna maji yalivyokua yanakimbia moto wa kivolcano

tanzanite kuwa kwenye eneo lenye maji na pambapamba kulisababishwa na kufunga nakufungua kwa hali hiyo ya mkimbio wa lava na maji

Jabali linalokaa na tanzanite nijabali lililooza tunaliita buding lugha zoefu mnaliita jabali la sukari

Eneo linalotoa tanzanite sio maeneo yote ni kwenye eneo tunaloliita kitaalamu jw zone

Kufungua kwa tanzanite na kutengeneza rangi kunategemena najoto lilikua kiasi gani wakati folds tuck inatokea
 
Inasemekana katikati ya dunia ..kati...Core kuna Moto mkali sana.
Sasa inakuwaje kina cha bahari maji ni bardi
Eneo hilo Kuna lavakali inayozunguka speed ambayo haipo kwenye dunia Kwa Sasa pia kuna maji yanayozunguka speed kupishana na huu uji wa volcano hapo ndipo mlipuko wa muundo wa dunia ulianzia
 
Samahani naomba kuuliza swali na swali langu ni kuwa kwamba cheti cha mtahiniwa wa masomo ya QT huwa kina nguvu kwenye ajira duniani.
 
Back
Top Bottom