Niulize lolote kuhusu CCM

Serikali ya ccm inashangaza sana….Hiyo pole haikuonekana wkt wa uvamizi wa majeshi ya serikali pale clouds....mbona hakuwahi hata kukemea? mbona tume iliundwa kuchunguza aliyeunda tume akatumbuliwa?....HUU UNAFIKI HUU CJUI KWA KWELI\

R.I.P RUGE
 
Chama pendwa!
-%20kipanya.jpeg
 
Bora hata ungeanzisha thread ya namna bora ya kupanda maua majumbani kwetu kuipendezesha nyumba

Bora hata ungeanzisha mada ya kuhimiza wana Jf umuhimu wa kupanda miti..


Bora hata ungeanzisha thread ya namna gani ya kujikwamua na tatizo la uhaba wa maji vijijini..

Bora hata ungeanzisha thread ya namna gani serikali inaweza kuinua uchumi wa taifa na wa mtu mmoja mmoja

Kuliko kuijadili ccm wezi wakubwa....
 
JE mwenyekiti wa Ccm anapofanya jambo lolote linalo husu jamii je linakuwa na uhusiano gani na Ccm!?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom