Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Kwaninj watu wa
 
Salaam, Nina eneo langu lipo mbezi barabara ya kuelekea white sand limepakana na shule ya Elite nursery school bei ni 280m lina 4500sq. M lina servant coter moja lina umeme na maji dalali ni 4% piga 0754026547

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini kinaturally wamekuwa hivo na kwanini iwe haiba yao
Mtu mbishi saaana wengi wanaitwa unsocialized....ila maana yake lakini mtu mbishi anakuwa hajiamini,pia anapenda kuonekana kwa nguvu kwahiyo kinachotokea hata jambo ambalo sio la kubishia atabishia aonekane anaongea na yeye

by emma mjasiriamali
 
Sijaliweka sawa...walio wabishi ni watu wasio jiamini hivyo...ili kuonekana wanalazimika kuchangia kila kitu hata ambavyo havipaswi kuchangiwa

by emma mjasiriamali
 
Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
kwanini Euro ipo juu ya dollar kithamani.. na kipi kinafanya kushuka na kupanda kwa fedha yoyote hapa duniani..?
 
Nini faida ya maisha duniani..?
 
Mtu mbishi saaana wengi wanaitwa unsocialized....ila maana yake lakini mtu mbishi anakuwa hajiamini,pia anapenda kuonekana kwa nguvu kwahiyo kinachotokea hata jambo ambalo sio la kubishia atabishia aonekane anaongea na yeye

by emma mjasiriamali
Mkuu kwa hili swali umeyumba sana.
Akili ni nini?
 
kwanini Euro ipo juu ya dollar kithamani.. na kipi kinafanya kushuka na kupanda kwa fedha yoyote hapa duniani..?
Thamani ya fedha inachangiwa sana na uchumi wa nchi husika....lakini upande wa euro ina thamani kuliko dollar,ipo hivi KENZY uchumi wa nchi za ulaya upo stable sana....ndio maana wamemaintain hilo jambo...lakini ukiangalia kitokana na uingereza kujitoa euro imeshuka thamani uchumi wa nchi zao umeathirika

by emma mjasiriamali
 
Nini faida ya maisha duniani..?
Maisha yanafaida tu kama unayaishi responsibly...ila vinginevyo maisha hayana faida....jibu:maisha yana faida kwakuwa tunakutana na changamoto na kujua tusivyovijua

by emma mjasiriamali
 
Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Ikiwa Afrika tumeweza kupata uhuru uliopiganiwa na mababu zetu mpk sasa lkn bado tumeendelea kuwa maskini wa kudharauliwa,wafitini wa mali zetu wenyewe na bado tumeruhusu mikono ya wafedhuri kuchukua mali zetu na hata kuibuka mabaa ya njaa,umaskini,vita na magonjwa! Je,kwa hali hiyo tuliyonayo unafikiri tunastahili kuwa na uhuru ama upokwe tena..? na kwa hali hiyo unafikiri tupo huru kwelikweli ama ni ufedhuri..?
na je unafikiri kuwepo kwa mabaa hayo kati ya mzungu na muafrika mwenyewe ni nani wa kulaumiwa nakutiwa pingu..?
 
Back
Top Bottom