Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Tatizo una google, we need to hear what you know.... Umejitishwa mzigo usio na uwezo kuubeba...... The good thing umethubutu but lete mawazo yako kwenye kila swali
Nakuelewa mkuu hata hivyo nashukuru hata hicho ulichosema

by emma mjasiriamali
 
Ushauri mzuri. Asifikiri tunadhani anajua kila kitu. Tunapenda tu tubadilishana mawazo yetu original.
Sawa kabisa, na ndiyo nataka atupe ya kwake, hakuna kitu kizuri na kilicho bora kama kinachotoka ndani ya wazo lako.... Ya wengine yanakupa mwanagaza tu,
 
Unajua mwingine hana hata hiyo idea,kingine kwakuwa umeniuliza ukuwa na jibu ndio maana umenicritisize mkuu,ila hakuna mteremko kwa kila kitu challenge zipo ndio kama hizi pia,nashukuru na umeniambia vizuri

by emma mjasiriamali
 
Ushauri mzuri. Asifikiri tunadhani anajua kila kitu. Tunapenda tu tubadilishana mawazo yetu original.
Ndio maana hata topic ina maelekezo nyanja za kuuliza maswali,mimi nakupa idea...na tunaweza kudiscuss

by emma mjasiriamali
 
Nakuelewa mkuu hata hivyo nashukuru hata hicho ulichosema

by emma mjasiriamali
Nashukuru kwa kushukuru tujenge mwazo yetu kuliko yale yaliyo kwenye Wikipedia au Google

Ngoja niulize swali la kiimani, kumekuwa na utaratibu wa manabii hata hapa Tanzania wapo wakitibu watu wenye kisukari/HIV/cancer nk kwa kutumia maombi na watu wanatoa ushuhuda wanapona bila hata kutumia medication au doctors consultations hii imeakaaje na je watu wanaponaje? Ni nini kipo behind our knowledge.....
 
Mkuu kuhusu wachungaji kuwatibu watu magonjwa hayo kusema ukweli hakuna kitu kama hicho kwa hali ya kawaida ni mazingaombwe tu na viini macho vinafanyika,wachungaji wote wanaotangaza kuombea kwa namna hiyo na utajiri huwa sio wakweli...pia kwa mtazamo wangu jambo hilo sio la kweli maana wale waliotangaza kupona huwa hawakai muda mrefu wanaanza kuumwa tena...wanakuwa tu na imani kuwa wamepona lakini sababu inakuwa ni wamejiponya wenyewe kwa kuamini na wanapoacha kuamini wanaanza kuumwa tena.

Ila pia maandiko na historia inaeleza kuwa YESU MWANA WA MUNGU aliwaponya watu kwa kuwagusa na kuwaombea na watu walipona, vipofu walipata kuona tena, viziwi walipata kusikia tena nk, wewe hili huliamini au hulijui?
 
Huyo unayemzungumzia hakuwa binadamu,ila alikuja kama mfano wa binadamu....tunaamini ni utatu mtakatifu wa Mungu,u'r talking about God himself

by emma mjasiriamali
 
Back
Top Bottom