Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Hivi upendo wa mama kwa mwanae una sababishwa na nini,yani ni kipi chenye kumfanya mama na upendo kwa mwanae?
 
Dunia hii inasemekana ina watu mia wanaojua na wanaoweza kufanya kila kitu kuna ukwel kiasi gan?kama ni kwel naweza kuamin unaweza jibu kila swal ila kama hakuna ss ww utatujibu vip kuhusu kila kitu?
 
Je ni kweli diamond anatumia ndumba

Ni jambo la ndani kulizungumzia ila mara nyingi sisi watu wa hali ya chini tunaamini sana kwenye mambo ya kishirikina au nguvu za giza...hasa kwa umri wake hilo jambo pengine zaman sasa au baadae atakuwa amewahi kulifanya...nashindwa kusema moja kwa moja maana siamini sana kwenye mafanikio ya ndumba
 
Ushawai ingia na nondo kwenye mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi....ila nilikuwa na mpango huo,ilikuwa mwaka 2000 nikiwa darasa na saba,kilichonifanya nishindwe ni ulinzi uliokuwepo,nilifail darasa la saba nadhani mawazo yakufikiria nondo yalidhid nikasahau kutumia akili yangu

by emma mjasiriamali
 
Ni jambo la ndani kulizungumzia ila mara nyingi sisi watu wa hali ya chini tunaamini sana kwenye mambo ya kishirikina au nguvu za giza...hasa kwa umri wake hilo jambo pengine zaman sasa au baadae atakuwa amewahi kulifanya...nashindwa kusema moja kwa moja maana siamini sana kwenye mafanikio ya ndumba
Mafanikio yake yako katika nini kama huamini ni kwenye ndumba
 
jee,ni kwelii unaweza kumchukua msichana yoyote kama tuu unapesa??
Hapana sio kweli....wengi wanaweza kuchukuliwa na pesa lakini sio wote,...kuna wengine wanahitaji mapenzi ya dhati na ukitumia pesa unamkosa,jiulize wenye pesa tayari inakuwaje

by emma mjasiriamali
 
Hivi upendo wa mama kwa mwanae una sababishwa na nini,yani ni kipi chenye kumfanya mama na upendo kwa mwanae?
Kuna bond ambayo Mungu ameiweka haielezeki...mapenzi yale ni beyond our normal thinking,yaan kifupi hata mama mwenyewe hawez kijicontrol hata mwanae afanyeje hata aacha kumpenda,vinginevyo yasiwe mapenzi au unafiki

by emma mjasiriamali
 
Dunia hii inasemekana ina watu mia wanaojua na wanaoweza kufanya kila kitu kuna ukwel kiasi gan?kama ni kwel naweza kuamin unaweza jibu kila swal ila kama hakuna ss ww utatujibu vip kuhusu kila kitu?
Sina uhakika na hiyo idadi ila naamini kuna watu wanaojua karibia kila kitu,ila sio vyote....kama wangekuwa wanajua vyote wangeweza kuumba binadamu wao...au wangetengeneza damu from the start,hili linamaanisha hakuna watu wanaojua kila kitu,ila tumejaariwa kujua mambo yanayotuzunguka na sio tusiyoyaona.

by emma mjasiriamali
 
Back
Top Bottom