Goguryeo
JF-Expert Member
- May 17, 2019
- 2,493
- 4,485
mkuu najaribu tu. Mwenye uzi na wajuzi watakuja kuweka Sawa wenyewe.Ni kipi ni cha uhakika kuliko vyote? Au vyote vina uhakika wa majibu?
binafsi nafikiri PCR is the best ikifanyika Kwa usahihi. (Uwezo wa kuweza kudetect positive hata kama kuna chembechembe ndogo sana za HIV ni mkubwa)
Upande wa SD bioline na unigold, huwezi tumia kwa wale vichanga kufanya kitu wanasema "Early infant diagnosis" kwa watoto ambao wamezaliwa na mama mwenye yupo
HIV +ve zinaweza zikakuletea "false positive" results. Halafu pia zina limitation yake unapoitumia ya uwezo wake wa kutoa majibu ya ukweli katika kipindi flan toka mtu alipoambukizwa mpaka kuja kupima. (Hii ni antibody tests )
ELISA ni nzuri pia japo wakati wa kufanya test hii ni vizuri kuwa makini wakati wa kuwash ile microtitre plate inaweza kuwash out sehemu yenye chembe chembe za HIV antibody Kwa mtu ambae ana copies bado chache za antibodies wa mdudu. hence ukapata "false negative" results. (Ila ni nzuri pia na majibu yake ni uhakika) "antigen or antibody test"