Fundisanifu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 515
- 625
- Thread starter
- #81
kwahilo sina elimu nalo zaidi mkuu.Ni katika zoezi la uchomaji sindano hasa makalioni, nilikuwa nikisikia manesi wakisema usikaze makalio itakatikia ndani, ni yapi madhara yanayoweza jitokeza ikitokea hali hiyo. (Inaweza likawa swali la nje ya mada, kama una idea nalo nisaidie kufahamu)