Niulize chochote kuhusu subwoofer

bafetimbi

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
685
1,000
Zile subwoofer mchina alizitoa dukani kwa makusudi kabisa
Wapo wanaozitumia [mention]Smart Guy [/mention] mzee baba uza mziki huo
emoji23.png
[emoji

Zile subwoofer mchina alizitoa dukani kwa makusudi kabisa
Wapo wanaozitumia [mention]Smart Guy [/mention] mzee baba uza mziki huo
Nayatafuta sana yale madude maana hizi bufa new model wadau kibao wanalalamika baada ya muda yanazingua,
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
2,740
2,000
Mkuu Kelphin asante,
Naomba unisaidie Nina Subwoofer yenye nob moja tu (new model kwa maelezo yako) lakini ghafla haina stereo inatoa bass tu. Tatizo nini?

Speaker zimenyamaza kabisa?
Au zinaimba kidogo?
Umejaribu speaks zingine tofauti na hizo?
 
Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,460
2,000
Yah sea piano zinakata miaka kwa kweli hesabu toka 2014-2021 na still ipo haijawahi kukanyaga kwa fundi

Mtaani kuna seapiano old model ya 2013 no Bluetooth na control zake ni analog ...inakita sana ina sauti nzuri in a way maza hawezi toa pesa nyingi kwa ajil ya mziki mwngne wakat ile inatosha pale ...hadi kuna mtu ana hometheatre ya 1000w ila alishangaa ule mkito hakuamin maana yake haifiki pale na katoa pesa ndefu
 
Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
6,296
2,000
Mkubwa Habari. Nipo na new model Seapiano ila kwa Sasa inapiga only 1 speaker Tena ndogo. Ile kubwa ya bass haipigi inawasha display tu. Je, niitibuje au ndo keshakuwa mlemavu? Currently haina bass wala stereo!
 
Zile zilikua nzuri sana
Mchina kazitoa makusudi kabisa
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
2,740
2,000
Mkubwa Habari. Nipo na new model Seapiano ila kwa Sasa inapiga only 1 speaker Tena ndogo. Ile kubwa ya bass haipigi inawasha display tu. Je, niitibuje au ndo keshakuwa mlemavu? Currently haina bass wala stereo!

Pole sana mkuu
Matatizo yanaweza kua kama ma2 hapo
Kama sio speaker inamatatizo basi huenda ic inayoendesha hyo speak inashida

Ifungue huenda panya amekula waya za speaker hizo kwa ndani zinazoenda kwenye connector
Kisha utaniambia
Au fungua upige picha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom