Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
9,010
14,292
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia.
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Kila kitu ni muhimu.....
Ndani ya speaker kuna coil
Urefu wa coil n wingi wa Ohms
Unene wa coil ni wingi wa watts
Amplifier zina guide watts na ohms ni vyema kuzingatiaa vyote
Speaker za twita za subwoofer n 4ohms ila watts 15
Speaker kubwa za PA ni 4ohms ila watts 800
Je unadhan ukiunganisha ile ya subwoofer kwenye ca 32 inayohitaj 4ohms watts 1000 itakuaje?

[mention]davibby [/mention]
 
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza

KaribuView attachment 1559794

Niongezee pia kuelezea kuhusu Aina ya subwoofer
Je unataka kununua Basi zingatia haya
Zipo za Aina mbili old model na digital,.
Sio majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model
Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu
Ila kinafanya multipurpose ,ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid
Kifupi Mambo yote Ni in one button

Faida yake Ni kua
Aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater (Ila haijawahi) inakua na umeme mnyoofu kidogo
Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi
Ni digital,yaani yakisasa,
Lakini pia display yake Ni LCD haitumii umeme mwingi

Je utaijuaje?
1 nob yakuongezea sauti ni moja tu na Zaid utakuta button za menu na input (inategemeana)
Ukiigeuza nyuma inakiplastic kidogo kilichozungushwa nati,yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko woote wa nyuma hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer

Hasara zake

1 Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000
Ila ukifika unaipachika tu huangaiki

2 Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob
3 Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde Sana
Kwahyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo Ni nzuri kwenye uzuri wake
Yenyewe ukiingalia utakuta Ina )nob( yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja
Yaani Cha master volume ,bass , tweeter na mic
Na ukivizungusha vinafika mwisho
Yenyewe ndani power supply yake Ni yakawaida inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida Kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kudambazwa ndani
Yaweza kua seapiano codjec aborder au vyovyote
Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma

Faida yake Ni....
1 ......ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
2....... zinavumilia Sana
3 ........hata muziki upo pia
4 .........rahisi kuitumia
Hasara zake
1 ......,,.. display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoipa Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo
VFD inakula umeme
***********†***********†**********+*******†
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo,huzaliana na kuleta hitirafu kwa kukata nyaya na kula speaker
Waya wa speaker unachumvi chumvi hivyo akiingia hauachi
Simple way jinsi yakudhibiti
Pale kwenye tobo kunaki corn Cha duara hua wanakipachika unaweza kitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao
1 chukua maji ya moto kidogo na kitambaa
Kichovye kitambaa kwenye maji Kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano
2 Kisha chukua kisu
Tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani (sio Huku uliko Kanda kwa maji)
3 ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa ,kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu
4 paka gundi upande wa ndani Huku ulikokua unakanda na maji Kisha kibandike Tena Kama kilivyokua

NB hi ni kwazile subwoofer Kama pichani hapo juu
Ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara
Wale zinazotolea mbele chini Ni habari nyingine..
******†******†*******†*******†""""†""""""†*

Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates..........
Je music system yako haina Bluetooth na unataka kuongezea easy sana na inawezekana pia ,kwa mafundi nnaweza kuwaelekeza,

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5 yaani picture video inawezekana pia
Hususani wale wenye tv zakizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer,unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer Hadi kwenye tv yako

Stay here....
More good things are here.....
Welcome......View attachment 1921368
View attachment 1921369
Asante, nitarudi maana subwoofer yangu ya sea piano inazingua vitu fulani
 
Sasa na jee ukiunganisha 4ohms ya subwoofer ya mchina yenye watt 150 hapo nn kitatokea kwenye ca32

Kaka vyote ni muhimu sana
Watts na ohms pia.
Watts ni unene wa coil..ohms ni urefu wa coil
Amp kubwa zinataka 4ohm ila waats labda 2500
Wakat za subwoofer unakauta 4ohms ila watts labda 35,50,75,100watts
Afu pia kuna kitu kinaitwa resistance unakifahamu?
 
Mimi nasubiri hapo kwenye subwoofer kutoa picha.
 
Kaka vyote ni muhimu sana
Watts na ohms pia.
Watts ni unene wa coil..ohms ni urefu wa coil
Amp kubwa zinataka 4ohm ila waats labda 2500
Wakat za subwoofer unakauta 4ohms ila watts labda 35,50,75,100watts
Afu pia kuna kitu kinaitwa resistance unakifahamu?
Mkuu resistance naelewa. Ila kuna ktu ningependa unielewesh maana na mm pia na wengine weng huwa hatukielew. Mfano unakuta subwoofer ya seapiano imeandikwa kwenye box 150watt ila nadhan ukifungua ndan sidhan kama ile speaker ni 150w maana huwa nina meter nikipipa power consumption unakuta ni maximum ni 50watt. Sasa huwa sielew inakuwaje ni 250w wakat power consumption ni 50watt.
 
Kuna true power
Na plate power
Plate power Hizo n za mauzo tu mkuu
Muhimu ni kuangalia watts ya amp yenyewe
Ukitaka kujua watts ya amplifier voltage ya transformer ni muhimu pia
Afu pia unapoongeza sauti ndio watts zinazidi (hapo kama unatumia kipimo kupima)
Kifupi nyingi wanaandika tu kuvuta wateja
 
Hapa sawa boss maana nina hm theater 1000watt lakin nikifungulia had mwisho saut ni kubwa za mid na tweeter lakin bass yakawaida na power consumption huea ni 80watt wakat nkifungulia sub ya kodtec huwa inaendaa mpaka 180watt but bass ndo kubwaa. Na kwa uzoef wako ww unefungua sana hizi seapiano inamaana speaker zako hazizid watt 50 ya bass. Na kingine ambacho sijakijua vzr kiundan ni hz soundbar, huwa naziuza dukan na bei zimechangamka kama sony hiz ht but cha ajab mid kwenye ile bar ndo nzur lakin bass watu wanaibiwa tu sometime nahis ata watt 40 hazina na bei unakuta ni 850k. Sasa mkuu hapo huwa sielew kwann zinauzwa ghal hiz soundbar? Ama kuna components ambazo huwa ni ghal labda sony au samsung wanaziweka ndan kwenye amp yake ambazo sub za mchina hazina?
 
Kaka kuna vitu kadhaa Kwann ht zinauzwa ghalama
1 sound system yake inakua computerized zaidi...i mean signals zake zinapita kwenye chip ambayo inazicontrol kabla yakuingizwa kwenye amplifier zake...that’s why utaona zinasikika vyema zaidi.
2 nyingi zake zinamifumo ya protection ...inapotokea hitirafu yeyote nyingi zinajizima ili zisiharibu mfumo wake.
3 speaker na box design inakua ya hari ya juu sana...mbali na muonekano wake kiujumla
4 inakupa true 5.1 channel .... hdmi output na component nyingine kama optical cable.
5 bland pia inahusika
Mtu ukimtajia SONNY tayari kuna picha unaijenga kichwan
Kwahyo inaongeza value kiasi

Ht haimanishi kua inapiga mzikiiii mkubwaaaaa zote Hapana
Inategemeana sana na watts zake
Mkuu kuna subwoofer zingine zinagongaa yan zinagonga sio kidogo....
Ni vile tu imani imejengeka kwao
 
Back
Top Bottom