Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,666
2,000
Yes man ingawa sina muda mrefu kwenye hii tasnia ila tangu nimeanza sijawahi kukutana na changamoto ya namna hii, bila shaka utakua umeelewa maelezo yangu ktk post no. 1378, tatizo linaweza kuwa nini amplifier au potentiometer?
N.B potentiometer sijaifungua bado.

Mkuu nadhan control ina shida....
Mala nyingi huo mfumo unaendeshwa na chip fulani ambayo inakua programed
Na hua hazipatikani
Ila kwakua hatuna uhakika
Nlitaka uzitafute signal zako afu upige mziki mojakwamoja ziaipite huko kwenye digital

Je naweza ona circuit ya hiyo subwoofer pia?
Kwakuona pengine naweza jua signals zipo wap ili tu test pamoja
 

kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,666
2,000
Hebu muelekeze tuibie kaka. Pia hiz knob zinakua na tatizo la kimfumo. Ukiongeza kama kawaida (ile kasi ya kuzungusha knob) mara iende mbele mara irudi nyuma. Yani haupati ile volume unayoitaka kwa wakati. Zingine hutaka uzugushe taratibu mno. Shid ni nini

Shortly n kua huo mfumo wa digital ukianza kuzingua basi n shida tu...bora zile zakawaida sometimes
Il hizi digital ni mawenge
Je unajua jinsi ya kuzibadili kutoka digital kwenda analogue?

Nkupe maelekezo kidogo
Kwenye subwoofer nyingi kuna ic inaitwa PT2313 kazi ya hi ni kuselect inpt
I mean input zako zote zitaingia hapo
Za aux
Za mp3
Za fm
Za Bluetooth
IMG_6327.jpg

IMG_6326.jpgAfu huku mbele kunakua na button either kwenye nob au pemben
Inaitwa inpt button
Yaan ukibonyeza hiv inaenda Bluetooth ukibonya tena inaenda fm NK
Kwahyo ikiwa unataka kutoa hu mfumo wa digital
Unakata njia za umeme unaoenda kwenye hiyo ic au uitoe kabisa
Ukitoa tu palepale kwenye ic utapata signal 3 i mean
L
R
Na bass
Kwahyo utaweka MP3 player yako yenye Bluetooth
Kama hi pichan
IMG_6328.jpg

Signal zinazotoka hap ndio ziNaenda hapo ulipoitoa hi pt
[mention]That Gentleman [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention] [mention]Extrovert [/mention] [mention]Smart Guy [/mention] [mention]Mapank [/mention]
[mention]mkulungu mkuyengo [/mention]
 

Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
4,346
2,000
Shortly n kua huo mfumo wa digital ukianza kuzingua basi n shida tu...bora zile zakawaida sometimes
Il hizi digital ni mawenge
Je unajua jinsi ya kuzibadili kutoka digital kwenda analogue?

Nkupe maelekezo kidogo
Kwenye subwoofer nyingi kuna ic inaitwa PT2313 kazi ya hi ni kuselect inpt
I mean input zako zote zitaingia hapo
Za aux
Za mp3
Za fm
Za Bluetooth View attachment 2081091
View attachment 2081092


Afu huku mbele kunakua na button either kwenye nob au pemben
Inaitwa inpt button
Yaan ukibonyeza hiv inaenda Bluetooth ukibonya tena inaenda fm NK
Kwahyo ikiwa unataka kutoa hu mfumo wa digital
Unakata njia za umeme unaoenda kwenye hiyo ic au uitoe kabisa
Ukitoa tu palepale kwenye ic utapata signal 3 i mean
L
R
Na bass
Kwahyo utaweka MP3 player yako yenye Bluetooth
Kama hi pichan View attachment 2081094
Signal zinazotoka hap ndio ziNaenda hapo ulipoitoa hi pt
[mention]That Gentleman [/mention] [mention]Zabron Hamis [/mention] [mention]Extrovert [/mention] [mention]Smart Guy [/mention] [mention]Mapank [/mention]
[mention]mkulungu mkuyengo [/mention]
Zipi faida na hasara za kubdili kutoka digital kwemda analog. Na zipi faida zake
 

mkulungu mkuyengo

JF-Expert Member
Feb 5, 2015
787
1,000
nadhan control ina shida....
Mala nyingi huo mfumo unaendeshwa na chip fulani ambayo inakua programed
Na hua hazipatikani
Ila kwakua hatuna uhakika
Nlitaka uzitafute signal zako afu upige mziki mojakwamoja ziaipite huko kwenye digital

Je naweza ona circuit ya hiyo subwoofer pia?
Kwakuona pengine naweza jua signals zipo wap ili tu test pamoja
Shukrani sana, kwakua nipo nayo mbali ( nimesafiri) nikirudi nitapost picha ya circuits zake.
 

kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,666
2,000
Mkuu na kwenye speaker ohm 2 na 4 huwa kuna utofaut gani maana unaweza kuta kuna speaker kwenye subwoofer in 2ohms na nyinginr ni 4. Ni 2hms ni nzur kuliko 4 ama 4 ndo better kuliko 2

Vyote ni bora kutokana na mazingira ambapo ipo!
Engineers wanapo design hizi ic au transistor hua wana guide na ohms za kutumia kwenye amplifier yake
Ndio maana nyingine zinataka 4ohms zingine 2 pia sawa
Sas sehemu yakuweka 8ohms wewe ukiweka 2 ohms inakuaje unadhan? Definitely amp itaungua tu

Je unajua nini kinaamua ohms ya speaker?
 

davibby

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
299
250
Vyote ni bora kutokana na mazingira ambapo ipo!
Engineers wanapo design hizi ic au transistor hua wana guide na ohms za kutumia kwenye amplifier yake
Ndio maana nyingine zinataka 4ohms zingine 2 pia sawa
Sas sehemu yakuweka 8ohms wewe ukiweka 2 ohms inakuaje unadhan? Definitely amp itaungua tu

Je unajua nini kinaamua ohms ya speaker?
Hapana mkuu ndo unipe darasa kidogo
 

kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
4,666
2,000
Kila kitu ni muhimu.....
Ndani ya speaker kuna coil
Urefu wa coil n wingi wa Ohms
Unene wa coil ni wingi wa watts
Amplifier zina guide watts na ohms ni vyema kuzingatiaa vyote
Speaker za twita za subwoofer n 4ohms ila watts 15
Speaker kubwa za PA ni 4ohms ila watts 800
Je unadhan ukiunganisha ile ya subwoofer kwenye ca 32 inayohitaj 4ohms watts 1000 itakuaje?

[mention]davibby [/mention]
 

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,191
2,000
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza

Karibu View attachment 1559794


Niongezee pia kuelezea kuhusu Aina ya subwoofer
Je unataka kununua Basi zingatia haya
Zipo za Aina mbili old model na digital,.
Sio majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model
Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu
Ila kinafanya multipurpose ,ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid
Kifupi Mambo yote Ni in one button

Faida yake Ni kua
Aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater (Ila haijawahi) inakua na umeme mnyoofu kidogo
Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi
Ni digital,yaani yakisasa,
Lakini pia display yake Ni LCD haitumii umeme mwingi

Je utaijuaje?
1 nob yakuongezea sauti ni moja tu na Zaid utakuta button za menu na input (inategemeana)
Ukiigeuza nyuma inakiplastic kidogo kilichozungushwa nati,yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko woote wa nyuma hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer

Hasara zake

1 Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000
Ila ukifika unaipachika tu huangaiki

2 Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob
3 Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde Sana
Kwahyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo Ni nzuri kwenye uzuri wake
Yenyewe ukiingalia utakuta Ina )nob( yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja
Yaani Cha master volume ,bass , tweeter na mic
Na ukivizungusha vinafika mwisho
Yenyewe ndani power supply yake Ni yakawaida inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida Kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kudambazwa ndani
Yaweza kua seapiano codjec aborder au vyovyote
Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma

Faida yake Ni....
1 ......ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
2....... zinavumilia Sana
3 ........hata muziki upo pia
4 .........rahisi kuitumia
Hasara zake
1 ......,,.. display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoipa Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo
VFD inakula umeme
***********†***********†**********+*******†
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo,huzaliana na kuleta hitirafu kwa kukata nyaya na kula speaker
Waya wa speaker unachumvi chumvi hivyo akiingia hauachi
Simple way jinsi yakudhibiti
Pale kwenye tobo kunaki corn Cha duara hua wanakipachika unaweza kitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao
1 chukua maji ya moto kidogo na kitambaa
Kichovye kitambaa kwenye maji Kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano
2 Kisha chukua kisu
Tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani (sio Huku uliko Kanda kwa maji)
3 ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa ,kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu
4 paka gundi upande wa ndani Huku ulikokua unakanda na maji Kisha kibandike Tena Kama kilivyokua

NB hi ni kwazile subwoofer Kama pichani hapo juu
Ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara
Wale zinazotolea mbele chini Ni habari nyingine..
******†******†*******†*******†""""†""""""†*

Kiasi chake mtanielewa View attachment 1560194 View attachment 1560195

Some updates..........
Je music system yako haina Bluetooth na unataka kuongezea easy sana na inawezekana pia ,kwa mafundi nnaweza kuwaelekeza,

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5 yaani picture video inawezekana pia
Hususani wale wenye tv zakizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer,unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer Hadi kwenye tv yakoStay here....
More good things are here.....
Welcome...... View attachment 1921368
View attachment 1921369
Asante, nitarudi maana subwoofer yangu ya sea piano inazingua vitu fulani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom