Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.

Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through part-time activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu.

Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake, lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto-repair shop.

Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.

Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.

Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Habari wadau

Nina Rav 4 kilitime yangu 1zz engine nimenotice manually kwa kuangalia kwenye oil dipstick kuwa oil inapungua plus, ukipiga race(acceleration) moshi mweupe unatoka kwenye tailpipe.

Hapa nafikiria kufanya overhaul japo sasa kila nikifanya research na nimpe fundi gani aifanye hiyo kazi naona kama haitakua long term solution, kuna mwenye ushauri mzuri zaidi ya kufanya overhaul. maana pia, nime google sana nimeona white smoke ni byproduct ya leakage ambayo inaweza ikawa inatokea kwenye head gasket au piston ring,

Hivyo basi kuna sehemu pia nimeona ukifanya overhaul ya full gasket, unaweza ukawa umetibu kwa kiasi kikubwa leakge ya oil. Pia nimeona ukitumua seal foams,kama plugs zime stuck inasaidia kutoa contamination na kurudisha performance ya gari.
All in all, gari yangu bado engine ina performy vizuri, na hakuna signal yoypte inayoonekana kwenye dashboard,. JE, nifanye nini sahihi ili nitatue taizo la oil consumption+white smoke.

Asanteni,
 
Tatizo lako kwa kiasi kikubwa ni cylinder head gasket. Hiyo haihitaji overhaul yoyote,
 
Kuna dogo anauza carina old model tsh 2.5M. Shida yake kubwa gia ya reverse hai function. Vipi imekufa gia box au kuna shida gan na tatizo hilo linaweza ku cost bei gan mpaka inatengemaa ?
 
Tatizo lako kwa kiasi kikubwa ni cylinder head gasket. Hiyo haihitaji overhaul yoyote,
Mkuu kila fundi nikimwelezea behavior za hii gari anakimbilia kwenye kufanya complete overhaul. Okay, mkuu naomba kujua symptoms za cylinder head gasket ambayo ina leak au imecrack kabisa. Maana hii yangu kwa macho na old xcul tricks kuangalia kama inarusha maji sioni..
 
.....UPDATES......

Tatizo limeisha
Nilinunua sensor sio yenyewe, ile og ya gari current ilikua inasoma 0.004, ila mpya ilikua inasoma 0.006

Hata ile ya gari haikua mbovu

Yaan ilikua imeziba, alichofanya fundi alii-spray na dawa flani hivi ya kusafisha akasafisha vzr

Kurudisha taa ikazimaa, nikatembea nayo , kisha nikapima fault tena kama ipo haikuepo

Pia nimesafiri dsm to Dom kwa Nusu tank lita 30

Asanten
Nissan gani mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kila fundi nikimwelezea behavior za hii gari anakimbilia kwenye kufanya complete overhaul. Okay, mkuu naomba kujua symptoms za cylinder head gasket ambayo ina leak au imecrack kabisa. Maana hii yangu kwa macho na old xcul tricks kuangalia kama inarusha maji sioni..
Kazi kubwa ya cylinder head gasket ni kuzuia na maji na oil visichanganyikabne na kuingia ndani ya cylinders. Kwa sasa hivi inaonekana kuwa ya kwako haifanyi kazi hiyo, hivyo inaruhusu maji na oil kuingia kwenye cylinder; hali hiyo huchafua mafuta na kuyafanya yasiungue sawasawa na sasa matokeo yake ni ndiyo unayopata:

-Maji ya cooling yanakauwa yanapungua haraka sana;
-Oil inakuwa inapungua haraka sana
-Kwa vile injini haichomi mafuta sawasa, basi unapata huo moshi mweupe
-Vile vile inawezekana sana injini itakuwa inatoa mlio mbaya sana na huenda inatetetemeka pia
-Vile vile unaweza kukuta nguvu za injini zimepungua
 
Mkuu kubadili cylinder head gasket ina garimu kiasi gari kwa injini ya 2sz engine ya toyota (gharama ukiweka na gasket yenyewe
 
Sio kubwa kulingana na engine overhaul kwani injini haishushwi chini. kutegemeana na ukubwa na aina ya injini, itakuwa ni kati ya dola300 hadi 600
 
Inawezekana kuna upepo kwenye line ya brake fluid; je umeshafanya bleeding? Au Brake calippers hazina gris, je umeangalia kama brake calipers zina gris ya kutosha, au disks za brake zimeshalika.
Habari. Nimefanya Service ya Brake, Caliper Slide Pins nikiweka grease inaslide smootly, ila baada ya muda inakuwa ngumu, sasa nataka kujua grease nawekaje najaza kwenya matundu na kwenye boot? na aina gani ya aina ya grease? asante
 
Kuna gris maalum ya brake, siyo gris yoyote. Ukitumia gris ya kawaida inanguzwa na joto la brake na kuwa ngumu.
1628006875029.png
 
Hiv ni kweli kweli kuwa gari yenye 4wheel drive inatumia mafuta mengi kuliko gari ambayo ni 2wheel drive hata kama huja engage kutumia hiyo 4wheel?
Siyo kweli iwapo magari hayo yana injini zenye ukubwa sawa na uzito sawa. Huwa inatokea tu kuwa magari mengi ya 4WD yanakuwa ni mazito na yenye injini kubwa kuliko yale ya 2WD. Kwa hiyo kama gari ni 4WD lakini lina option ya 2WD, matumizi ya mafuta yatakuwa ni yale yale uwe unaliendesha katik 4WD au katik 2WD
 
Asante Mkuu. Inapatikana maduka maalumu au duka lolote la vifaa?
Zinapatikana katika brands mbalimbali, niliyokuonyesha ni CRC, lakini pia zipo brands mbalimbali na unaweza kuzipata kwnye maduka yanayouza spare parts. Ni Vichupa (vimikebe) vidogo, ila mfuniko wake una brash ya kutumia kupaka hiyo grisi; chupa moja inaweza kutumika kwenye service ya breki zaidi ya 15, na inapowekwa kwenye breki hutumika kwa kwa muda usiopungua miaka mitano kwa hiyo mara nyingi zinakuwa kwenye karakana za mafundi tu. Wewe ukiinunua utatumia kidogo sana, kwani ukishaweka kwenye breki zako hutahiitaji tena labda mpaka baada ya miaka mitano tena
 
Zinapatikana katika brands mbalimbali, niliyokuonyesha ni CRC, lakini pia zipo brands mbalimbali na unaweza kuzipata kwnye maduka yanayouza spare parts. Ni Vichupa vidogo, ila mfuniko wake una brash ya kutumia kupaka hiyo grisi; chupa moja inaweza kutumika kwenye service ya breki zaidi ya 15, na inapowekwa kwenye breki hutumika kwa kwa muda usiopungua miaka mitano kwa hiyo mara nyingi zinakuwa kwenye karakana za mafundi tu. Wewe ukiinunua utatumia kidogo sana, kwani ukishaweka kwenye breki zako hutahiitaji tena labda mpaka baada ya miaka mitano tena
Asante Mkuu.
Sasa kuna changamoto nyingie kubwa sana kwangu.
To insert Brake Piston dust boot, aaaa! nimechemka, hii inawekwaje?
 
Sijui ulisoma wapi na context yake ilikuwa ni nini; ila brake caliper pistons zinakuwa na boot yake ya kufunika vumbi lissingie ndani ya cylinder. Kuiweka siyo kazi kabisa, ni kupachika tu. Halafu inategema kama breki zako ni za disk au ni drum.
 
Zinapatikana katika brands mbalimbali, niliyokuonyesha ni CRC, lakini pia zipo brands mbalimbali na unaweza kuzipata kwnye maduka yanayouza spare parts. Ni Vichupa (vimikebe) vidogo, ila mfuniko wake una brash ya kutumia kupaka hiyo grisi; chupa moja inaweza kutumika kwenye service ya breki zaidi ya 15, na inapowekwa kwenye breki hutumika kwa kwa muda usiopungua miaka mitano kwa hiyo mara nyingi zinakuwa kwenye karakana za mafundi tu. Wewe ukiinunua utatumia kidogo sana, kwani ukishaweka kwenye breki zako hutahiitaji tena labda mpaka baada ya miaka mitano tena
1628771573713.png

Msaada
Haipatikani madukani. Naomba Msaada naweza kupata wapi hapa Dar
Asante
 
HABARI Kichuguu mimi nina gari ina engine ya1NZ-FE ,hii gari ina tatizo la KULA OIL yaani OIL inapungua sana na halafu ina tatizo la kupoteza COOLANT kwa kiasi kikubwa hata ukitembea umbali mfupi,Je? Nifanye OVERHAUL au niweke engine MSWAKI?? Ushauri wako ni muhimu sana sana.
 
Ni ya mwaka gani, na gari ina km ngapi?

Kama huwa inatoa moshi fulani mweupi kwenye exhaust basi huenda ni cylinder head gasket ambayo siyo ngumu kubadilisha. Oil kupungua kwa gari yenye umri mrefu ambayo imetembea km nyingi siyo jambo la ajabu kabisa, inategemea inapungua kwa kwa rate gani. Je gari haina nguvu kama mwanzo ili uende mbele lazim ukanyage accelerator hadi kwenye bati? Ukifikia kukanyaga accelerator hadi kwenye bati ndipo unaweza kufikiria kubadili injini au kufanya overhaul.
 
Back
Top Bottom