Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,040
- 1,895
Mpya inauzwajeInapimwa kwa kutumia electronic meter ikiwa cold na ikiwa warm ikiwa cold inatakiwa isome 3.96 vdc ikiwa warm isome 9.88 vdc
Mpya inauzwajeInapimwa kwa kutumia electronic meter ikiwa cold na ikiwa warm ikiwa cold inatakiwa isome 3.96 vdc ikiwa warm isome 9.88 vdc
Gari ni ya mwaka gani na ina km ngapi ?Habari Kichuguu
Msaada wako ni Muihimu sana
Nina gari Nissan, Check Engine Light Iliwaka, Nikapima ikaleta code P0420 ambayo ni Catalyitc Conveter at Bank 1, Fundi akanambia Oxygen sensor ya bank 1 imekufa nikasema fine(aliipima), nikaenda kwa mafundi wa 3 zaidi wakanambia hicho hicho baada ya kupima Oxgen sensor (zipo 2) walisema ile ile moja imekufa.
Nikanunua Hiyo sensor, Nikafunga, baaada ya kufunga Imekuja code P0171 inasema System too lean at Bank 1, sasa kinachotokea hapa gari inakula mafuta sana
Mfano; DSM to Dodoma nilikua natumia lita 35 kwenye Tank la 60litres sasa hivi natumia FULL TANK
Naomba ushauri wako
Gari ni ya mwaka gani na ina km ngapi ?
Gari ni ya mwaka gani na ina km ngapi ?
Habari Kichuguu
Msaada wako ni Muihimu sana
Nina gari Nissan, Check Engine Light Iliwaka, Nikapima ikaleta code P0420 ambayo ni Catalyitc Conveter at Bank 1, Fundi akanambia Oxygen sensor ya bank 1 imekufa nikasema fine(aliipima), nikaenda kwa mafundi wa 3 zaidi wakanambia hicho hicho baada ya kupima Oxgen sensor (zipo 2) walisema ile ile moja imekufa.
Nikanunua Hiyo sensor, Nikafunga, baaada ya kufunga Imekuja code P0171 inasema System too lean at Bank 1, sasa kinachotokea hapa gari inakula mafuta sana
Mfano; DSM to Dodoma nilikua natumia lita 35 kwenye Tank la 60litres sasa hivi natumia FULL TANK
Naomba ushauri wako
Ndiyo; engine yoyote inaweza kuwekewa sleeve. Lakini matumizi ya sleeve hutokea kwa sababu ya matunzo mabaya ya injini kukosa service na kusababisha cylinders zisagike. Injini ikitunzwa vizuri, utaindesha gari yako hata miaka 30 bila kuhitaji sleeve na powere ya injini ikiwa ile ile iliyotoka nayo kiwandani.Gasoline injini inakubali kuwekewa sleeve?
Ahsante kwa kuja hapa. kipi ni bora 'technically' kati ya kuvalisha sleeve au kuchonga bloku?Ndiyo; engine yoyote inaweza kuwekewa sleeve. Lakini matumizi ya sleeve hutokea kwa sababu ya matunzo mabaya ya injini kukosa service na kusababisha cylinders zisagike. Injini ikitunzwa vizuri, utaindesha gari yako hata miaka 30 bila kuhitaji sleeve na powere ya injini ikiwa ile ile iliyotoka nayo kiwandani.
Ilitafuna piece bearing ya crankshaft.Injini inasumbua nini
Hili jibu wakikupa litanisaidia pia. Nina injini ya 1rz ina ugonjwa kama wako kujumlisha kuua oil pump. Imajini kwa mwaka gari inafungiwa oil pump hata tatu aiseeIlitafuna piece bearing ya crankshaft.
Hiyo injini inatakiwa overhaul kwa vile uliiendesha kwa muda mrefu bila kuweka oil au kwa kutumia oil isiyo sahihi. Sasa uamuzi wa ama kununua injini nyingine au kuoverhaul ni juu yako baada ya kulinganisha gharama. Kama uta-overhaul itakubidi ukague hiyo chrankshaft kwa vile inaweza ikahitaji kusagwa kidogo; na kama connecting rods hazikuvujika na pistons hazikudhurika, basi usifanye makosa ya kuzibadilisha, bali unaweza kubadilisha piston rings. Kama utanunua injinie nyingine (mswaki) jitahidi injini hiyo ipimwe kwenye dyno kabla ya kuiweka ndani ya gari; unaweza kukuta injini unayonunua ina matatizo hayo hayo unayokimbia.Ilitafuna piece bearing ya crankshaft.
Nakushukuru sana.Hiyo injini inatakiwa overhaul kwa vile uliiendesha kwa muda mrefu bila kueweka oil au kwa kutumia oil isiyo sahihi. Sasa uamuzi wa ama kununua injini nyingine au kuoverhaul ni juu yako baada ya kulinganisha gharama. Kama uta-ovarhaul itakubidi ukagua hiyo chrankshafdyt kwa vile inaweza ikahitaji kusagwa kidogo, kama connecting rods hazikuvujika na pistons hazikudhurika, basi usifanya makosa ya kuzibadilisha, bali unaweza kubadilisha piston rings. Kama utanunua jitahidi injini hiyo ipimwe kwenye dyno kabla ya kuiweka ndani ya gari
.....UPDATES......
Tatizo limeisha
Nilinunua sensor sio yenyewe, ile og ya gari current ilikua inasoma 0.004, ila mpya ilikua inasoma 0.006
Hata ile ya gari haikua mbovu
Yaan ilikua imeziba, alichofanya fundi alii-spray na dawa flani hivi ya kusafisha akasafisha vzr
Kurudisha taa ikazimaa, nikatembea nayo , kisha nikapima fault tena kama ipo haikuepo
Pia nimesafiri dsm to Dom kwa Nusu tank lita 30
Asanten
Gari yako ina CC ngapi mkuu? Consumption hapo naona si mbaya sana lita 1 kwa 15km
Kagua fuel pump, nadhani ndiyo imesihiwa nguvu, haisukumi mafuta ya kutosha!Kaka hbr naomba msaada nina mazda rx 7 , ina km 140,000 ghafla tu gari imeqnza kukosa nguvu kbs , engine yake ni ROTATARY , mafuta pia consuption imebadilika na inachelewa sana kuchanganya tatizo hapa linaweza kuwa nini wengine wananishauri kuwa engine hiyo mda wake umeisha hivyo nibadili niweke 2Jz ya Toyota unanishauri vipi maana overhaul ya engine hii ni mtihani sana