Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,546
- 19,411
- Thread starter
- #1,001
swali la kwanza: inawezekana, ingawa itetegemea unatumia mafuta ya aina gani,na unakwenda umbali wa muda mangapi. Usitumie Mafuta yenye smoke point ndogo na viscosity ndogo!So yanaweza tumika kama dharura? Je nikiwasha gari ikawaka then nikachomoa battery itazima?gari za miaka ya 2000 kushuka chini.
swali la pili: jibu ni ndiyo iwapo alternator yako ni nzuri. engine zote huwa hazitumia battery, bali wakati wa kustart tu. Baada ya hapo umeme wote unaohitajiwa na gari hutoka kwenye alternator. Ndiyo maana unashauriwa wakati unastart injini vitu vyote vya umeme viwe OFF: hasa taa, AC, radio, seat heater, rear window defrogger, na wiper.