Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

RAV4 za mwaka 2000 mpaka 2003 zilikuwa na matatizo ya computer ya Transmission; angalia kama hilo lilishughulikiwa. Ila kugonga kelele sana wakati wa kustart inawezekena timing belt au timing chain imeanza kulegea.
Mkuuu nashukuru sana

sent from HUAWEI
 
Gari ndogo aina ya swift kukosa nguvu hasa mlimani na kuzima then steering kuwa ngumu na Eps inawaka no brake!
Nini Tatizo na solution yake please.
 
Noah voxy feni haikubali automatically manual Tu ndio inafanya kazi sensory zote ziko Sawa pamoja na control box
 
Habari kaka pole na majukumu ya kutuelimisha Mungu akubariki. Awali niliwahi kuuliza ni oil gan kwa gari yangu aina ya premio hizi modeli ya kati(new model) ambayo sasa ina km 84,000 ambapo ulinishaur nitumie 5w30 au 10w30!! Nilipoanza kutumia oil hiyo baada ya kutembea kama km 4000 kasoro niliona oil imepungua bila ya kuvuja popote ambapo oil niliotumia ni ya kampun ya total.

Kwa kuwa nilikuwa safari ilibid nibadili oil na eneo nililokuwepo nilipata ya lakeoil 15w40!! Sasa nataka kufanya service ambapo wapo walio nishaur kwamba engine ya gar yangu haifai kutumia 5w30 hivo nitumie hiyo ya lakeoil au Nitumie oil ya Toyota 15w40!!

Sasa naomba ushaur wako au maelekezo zaid! Cjui kama umenielewa!!
 
Bro habari ya leo? Kuna gari ya mdogo wangu Subaru Forester X20 ya mwaka 2004. Imeanza kunizingua Kama wiki ya 3 Sasa inasleep sana hasa unapotaka kuanza mwendo.

Ukiweka reverse haina shida Ila ukiweka drive unaweza kukanyaga exleter Hadi mwisho na gari isiondoke inachukua mda Sana ndo inaondoka Tena kwa kushtuka.

Mafundi wameshafungua gear box sample wamesafisha na kubadili filter ya hydrolic hakuna mabadiliko. Mpaka nashauriwa kubadili gear box nzima. Ushauri wako please

sent from HUAWEI
 
Mkuu gari yangu ina vibrate/ shake sana tatizo halijapatikana nimewapelekea mafundi wa3 tofauti ila hamna suluhu pia fundi nyundo alitoa thermostat wakati nafanya service ya mwisho mwezi haujaisha

Aina ya gari ni Suzuki Carry
 
Mkuu Nina Suzuki escudo cc 1590.
-RPM 4500 speed 60.
-Gari haina nguvu.
-Mafuta Lita moja km 5,
-Gari haina silence na muungurumo in mkubwa.Naomba ushauri mahali pa kuanzia ninapoenda kwa fundi.
 
Habari kaka pole na majukumu ya kutuelimisha Mungu akubariki. Awali niliwahi kuuliza ni oil gan kwa gari yangu aina ya premio hizi modeli ya kati(new model) ambayo sasa ina km 84,000 ambapo ulinishaur nitumie 5w30 au 10w30!! Nilipoanza kutumia oil hiyo baada ya kutembea kama km 4000 kasoro niliona oil imepungua bila ya kuvuja popote ambapo oil niliotumia ni ya kampun ya total.

Kwa kuwa nilikuwa safari ilibid nibadili oil na eneo nililokuwepo nilipata ya lakeoil 15w40!! Sasa nataka kufanya service ambapo wapo walio nishaur kwamba engine ya gar yangu haifai kutumia 5w30 hivo nitumie hiyo ya lakeoil au Nitumie oil ya Toyota 15w40!!

Sasa naomba ushaur wako au maelekezo zaid! Cjui kama umenielewa!!

Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi

5W30 hii ni kwaajili ya mazingira ya baridi kali ambapo oil hii hua nyepesi sana ili isiiruhusu kuganda

:5 inamaanisha Kiwango cha joto cha chini ya oil hii kufanya kazi ambapo kwa Bongo hatuna tempreture hizi hivo oil kama hii ni nyepesi sana hivo kufanya kazi kwenye mazingira ya joto kama Dar huwai kuisha kutokana na joto

:30 ni kiwango cha juu cha joto kwa oil hiyo kufanya kazi, joto la engine hufika mpaka 80° - 100° ikiwa inafanya kazi kwa nguvu mno hivo oil kama hii ya 5W30 sio vizuri kutumika kwenye engine ambayo inakua na joto kubwa kiasi hiko

15W40 pia ina kiwango cha nyuzi joto 40° kwa Dar haitakua rafiki sana labda maeneo ya Arusha, Iringa kwenye joto

Oil nzuri ya mazingira ya joto ni 15W60 au 15W80 hivo hua nzito kiasi kwamba engine ikiwa na joto kali sio rahisi kuchoma oil iyeyuke

NB oil zenye namba ndogo mfano 5W30 huuzwa kwa bei rahisi sana na wengi hupenda kueka hizo kutokana na bei

15W60 au 20W80 hua ne bei kubwa na kampuni inayouza hizi kwa asilimia kubwa ni Castrol
 
Mkuu gari yangu ina vibrate/ shake sana tatizo halijapatikana nimewapelekea mafundi wa3 tofauti ila hamna suluhu pia fundi nyundo alitoa thermostat wakati nafanya service ya mwisho mwezi haujaisha

Aina ya gari ni Suzuki Carry

Rudisha Thermal Start, kagua Nozzle zote kama zinafanya kazi sawa pamoja na plug
 
Nadhani utaelewa ukiangalia maelekezo ya kitabu cha gari, kwa pocha naambatisha zikionesha hzo oil unazosema huku dar, zinafanya kazi kuanzia nyuzi joto -20 hadi +40View attachment 1505883
JamiiForums1528044296.jpg
 
Nadhani utaelewa ukiangalia maelekezo ya kitabu cha gari, kwa pocha naambatisha zikionesha hzo oil unazosema huku dar, zinafanya kazi kuanzia nyuzi joto -20 hadi +40View attachment 1505883View attachment 1505884

Sijasema hazifanyi kazi, hizo za 5W40 ni bora zaidi kwenye nchi za baridi. Zinakua nyepesi sana hivo sio rahisi kuganda kama zenye 20W60
Refer to Physics - Viscosity
 
Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi

5W30 hii ni kwaajili ya mazingira ya baridi kali ambapo oil hii hua nyepesi sana ili isiiruhusu kuganda

:5 inamaanisha Kiwango cha joto cha chini ya oil hii kufanya kazi ambapo kwa Bongo hatuna tempreture hizi hivo oil kama hii ni nyepesi sana hivo kufanya kazi kwenye mazingira ya joto kama Dar huwai kuisha kutokana na joto

:30 ni kiwango cha juu cha joto kwa oil hiyo kufanya kazi, joto la engine hufika mpaka 80° - 100° ikiwa inafanya kazi kwa nguvu mno hivo oil kama hii ya 5W30 sio vizuri kutumika kwenye engine ambayo inakua na joto kubwa kiasi hiko

15W40 pia ina kiwango cha nyuzi joto 40° kwa Dar haitakua rafiki sana labda maeneo ya Arusha, Iringa kwenye joto

Oil nzuri ya mazingira ya joto ni 15W60 au 15W80 hivo hua nzito kiasi kwamba engine ikiwa na joto kali sio rahisi kuchoma oil iyeyuke

NB oil zenye namba ndogo mfano 5W30 huuzwa kwa bei rahisi sana na wengi hupenda kueka hizo kutokana na bei

15W60 au 20W80 hua ne bei kubwa na kampuni inayouza hizi kwa asilimia kubwa ni Castrol
Hapana...
Haijakaa sawa...
Tulishajadili sana mambo yanayohusu oil humu..
 
Hapa umetupoteza kabisa....yaani umeingia chaka mkuu..

Soma hapa..tulishajadili sana elimu ya oil kwa kina.

Engine oil gani ni nzuri kwa IST yangu?
 
Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi

5W30 hii ni kwaajili ya mazingira ya baridi kali ambapo oil hii hua nyepesi sana ili isiiruhusu kuganda...
Hapana mzee wangu; hiyo siyo maana ya namba hizo. Uksishasema kuwa 5 ni temprature ya chini kabisa, ina maana hujui kuwa kuna sehemu huwa zina temperature mpaka -20 degrees na magari yanafanya kazi. Namba zote mbili ni viscosities, moja ikiwa ni viscosity wakati injini inapostart kwenye winter, na namba ya pili ni viscocity ya kawaida wakati inji imeshapata joto.

Injini ya joto ni degree karibu 90. Ukitumia viscocity kubwa kama 40 au 50 na zaidi basi unaondoa lublication effectya oili hiyo kwa sababu thickness yake inakuwa kubwa na kuliko clearances iliyomo kwenye sehemu mbalimbali za injini. Oil ya gearbox ya manual na kwenye diff ni 80W-90, je hiyo ina maana gani kwako kulingana na tafsiri yako hiyo??
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mkuu gari yangu ina vibrate/ shake sana tatizo halijapatikana nimewapelekea mafundi wa3 tofauti ila hamna suluhu pia fundi nyundo alitoa thermostat wakati nafanya service ya mwisho mwezi haujaisha

Aina ya gari ni Suzuki Carry
Kama injini ndiyo ina vibrate sana, kuna wasiwasi kuwa mojawapo ya valve lifters au tappets haifunguki; waambie mafundi wafungue cylinder head cover waangalie valves zake. Hii hutokea sana iwapo exhaust valve haifunguki kwa hiyo cylinder inapochoma mafuta inakosa sehemu ya kutolea moshi, na huo mhangaiko wa kutafuta pa kutolea moshi huo ndio unakueleta vibrations sana. Halafu rudisha thermostat yake.

Kama ni gari lote linavibrate, inawezekana wheel alignment ni mbovu au mojawapo ya shockabsobers imeishiwa nguvu kwa hiyo gari linakuwa linaelemea upande mmoja kuliko upande mwingine.

Kuna matatizo mengine ya misfire kutokana na sparkplugs, injectors na ignition coils kushindwa kazi yanaweza kusababisha gari ivabirate lakini siyo kiasi cha kutisha kama unavyolalamika unless unakuza tatizo lenyewe. Kama invibrate mpaka inakutisha basi angali hizo tappets/valve lifters. Valive lifters zina muda wa kubadilisha, nadhani kama miaka kumi hivi
 
Kama injini ndiyo ina vibrate sana, kuna wasiwasi kuwa mojawapo ya valve lifters au tappets haifunguki; Waambie mafundi wafungue cylinder head cover waangalie valves zale. Halafu rudisha thermostat yake. Kama ni gari lote linavibrate, inawezekana wheel alignment ni mbovu au mojawapo ya shockabsobers imeishiwa nguvu kwa hiyo gari linakuwa linaelemea upande mmoja kuliko upande mwingine
Mkuu engine ya gari yangu Nissan winroad ilikua inagonga na kutoa sauti kama machine ya kusaga ya diesel. Nimenunua engine engine , sasa hii ingine mpya imefungwa leo lakini kwenye test haina nguvu kabisaa . ukikanyaga mafuta ndo kabisaa inapiteza nguvu. Pia inapoteza nguvu kwenye mlima na kuspeed up kwenye mteremko . tatizo litakua nini chief
 
Mkuu Nina Suzuki escudo cc 1590.
-RPM 4500 speed 60.
-Gari haina nguvu.
-Mafuta Lita moja km 5,
-Gari haina silence na muungurumo in mkubwa.Naomba ushauri mahali pa kuanzia ninapoenda kwa fundi.
hebu nimbie kwanza tatizo lilianzaje; lilianza ghafla tu au lilianza polepole.
 
Kama injini ndiyo ina vibrate sana, kuna wasiwasi kuwa mojawapo ya valve lifters au tappets haifunguki; waambie mafundi wafungue cylinder head cover waangalie valves zale. Hii hutokea sana iwapo exhaust valve haifunguki kwa hiyo cylinder inapochoma mafuta inakosa sehemu ya kutolea msohi, na huo mhangaiko wa kutafuta pa kutolea moshi huo ndio unakueleta vibrations sana. Halafu rudisha thermostat yake...
Asante kwa maelezo
 
Back
Top Bottom