Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Kichuguu kuna tofauti gani kati ya 5W30 na 5W40. Na gari itapata madhara gani nikitumia 5W40? Gari husika ni IST imeshatembea 151000 KM.
 
Kichuguu kuna tofauti gani kati ya 5W30 na 5W40. Na gari itapata madhara gani nikitumia 5W40? Gari husika ni IST imeshatembea 151000 KM.
5W40 ni nzito kuliko 5w30; kwa hiyo inapopenya kwenye sehemu ambazo inatakiwa ilainishe inabananisha zaidi vyuma husika badala ya kuvilaninish, na hivyo kuweka stress (mzigo mkubwa sana kwenye injini yako), jambo ambalo litaua sehemu nyingine za injini kutokana na kuelemewa na mzigo. Fikiria kama unatembea kwenye bwawa leye matope, utapita kwa urahisi katika bwawa ambalo tope lake ni laini kuliko bwawa ambalo tope lake ni kama udongo wa mfinyanzi.
 
5W40 ni nzito kuliko 5w30; kwa hiyo inapopenya kwenye sehemu ambazo inatakiwa ilainishe inabananisha zaidi vyuma husika badala ya kuvilaninish, na hivyo kuweka stress (mzigo mkubwa sana kwenye injini yako, jambo ambalo litaua sehemu nyingine za injini kutokana na kuelemewa na mzigo. Fikiria kama unatembea kwenye bwala leye matope, utapita kwa urahisi katika bwawa ambalo tope lake ni laini kuliko bwawa ambalo tope lake ni kama udongo wa mfinyanzi.
Nashukuru sana Mkuu. Oils zinazotengenezwa na wauza mafuta kama Oryx, Oilcom etc za 5w30 zinafaa?
 
Nashukuru sana Mkuu. Oils zinazotengenezwa na wauza mafuta kama Oryx, Oilcom etc za 5w30 zinafaa?
Kama zinafuata viwango basi zitafaa tu. Kiwango cha 5W30 ni cha kimataifa, sasa kama jamaa ni kanyabwoya tu wanapiga lebo ya 5W30 bila kufuata viwango vya 5W30 hilo litakuwa ni jambo jingine kabisa
 
Nashukuru sana Mkuu. Oils zinazotengenezwa na wauza mafuta kama Oryx, Oilcom etc za 5w30 zinafaa?
Kwangu Mimi kama muuzaji oil zinazotengenezwa na wauza mafuta mfano oryx, total, gp, na puma kwa maana ya castrol ndio oil bora ambazo zinafuata viwango vya kimataifa na wengi tutambue kwamba makampuni hayo makao makuu yake hayako hapa Tanzania hivyo chemical zake nyingi zinakua designed nje ya nchi na hapa wanakuja kuchanganya na kutoa kitu ambacho kimethibitishwa kama muuzaji wa oil ningependa watu watumie oil za makampuni hayo makubwa na kuachana na hizi oil ambazo zimejaa mtaani zijulikanazo kama za kupima ambazo ubora wake ni hafifu sana japokuwa zinatoka nje ya nchi
 
Kama zinafuata viwango basi zitafaa tu. Kiwango cha 5W30 ni cha kimataifa, sasa kama jamaa ni kanyabwoya tu wanapiga lebo ya 5W30 bila kufuata viwango vya 5W30 hilo litakuwa ni jambo jingine kabisa
Na ndo maana bei zake zimasimama kweli kweli maduka mengi ya ushwahilin hawaziweki hata dukani maana caton yake moja ni sawa na kuchukua mbili au tatu za sae 40
 
Niaje wakuu, nina ist yangu old model cc 1490 nikiweka petrol ndani ya gari kunanuka mafuta sana na pia hayakai consumption imekua kubwa sana nahs kuna leakage sehem but kabla sijamuita fundi nataka kujua tatzo zaid linaweza kuwa nin? maana mafundi wengi ni wapiga ramli, niko Arusha kwa sasa na kama kuna mtu anajua fundi mzur arusha plz niunganishe naye
 
Bila shaka ari yako sasa hivi haina hata nguvu za kutosha, na inaweza kuelemewa ikashindwa kupanda mlima mkali. Sababu mojawapo kubwa ni kuwa fuel pressure regulator huenda imechoka sana kwa hiyo mafuta yanayoingia kwenye injector ni mengi sana kuliko kiasi kinachotakiwa, na hivyo cylinder zako inachoma mafuta mengi zaidi kuliko hewa, yaani Air-Fuel ratio ni mbaya.
 
kwahyo mkuu cha kufanya ni nin ili tatizo liishe?
 
kwahyo mkuu cha kufanya ni nin ili tatizo liishe?
waambie mafundi wako wakague fuel pressure regulator hasa kama ni kweli kuwa gari limepungua nguvu, linakula mafuta mengi, na vile vile unasikia harufu ya mafuta ndani ya cabin. Ikiwezekana wabadili kabisa hiyo fuel pressure regulator iliyopo sasa
 
Mwenye uzi yupo lunch....
Me nakushauri tumia Total Quartz 9000 5w 30 au 10W 30 au 5W 40 kwa mqzingira ya Mbeya na umri wa gari siyo mbaya...
Ila zaidi tumia 5W 30... Hii kama umefunga oil filter genuine unaweza kwenda mpaka km 8000.
Castro ni nzuri sema zina soko sana hivyo kuna feki...kuwa makini..

5W 40 siyo nzuri ila sasa inategemea na umri wa gari lenyewe; kama limeshakula miaka nane na kuendelea basi itakuwa ni sawa tu, ila kabla ya hapo italuwa siyo vizuri.
 
Leo nimezunguka baadhi ya petrol stations za Puma kutafuta Castrol Oil nimekosa.
 
Mkuu gari yangu toyota ist inatatizo la kukosa nguvu, inakosa speed kabisa na unaweza kanyaga accelerator mpaka mwisho isifike 120km/hr. Tatizo linaweza kuwa nini?
 
Kichuguu,

Mkuu nina gari dogo la 1.5L, kwa kawaida likiwa idle mshale wa RPM unakua chini kidogo ya moja.

Leo nikiwa nimesimama kwenye foleni limenizimikia. Nikaliwasha likawaka na kuweza kuondoka bila shida yoyote.

Gari halikuwa lime-overheat, sikua nimewasha AC, tank lilikua chini kidogo tu ya nusu.

Level ya coolant, oil zote zipo sahihi na sehemu liliponizimikia ni tambarare. Tatizo linaweza kuwa nini? Maana kitu pekee nilichobadili hivi recently ni redio na nimenotice saa ya kwenye redio ilireset baada ya kutokea hivyo.
niliwahi pata shida kama yako kipindi flani,fundi alicheki nozeli wanaita alisafisha pamoja plug check mkuu
 
Back
Top Bottom