M2flan
JF-Expert Member
- Jun 27, 2013
- 418
- 166
Gearbox automatic ina oil yake maalum initwa ATF (Automatic Transmission fluid), na kuna aina nyingi sana za mafuta hayo. Kila gari ina aina yake. Ukiweka namba 90 utaua gearbox yote. Namba 90 ni kwa gearbox za stick shift na diff; usiiweke kwenye atumatic transmission
Mkuu pia kuna ubishani wa kubadili hii ATF kuna wengine wanasema unatakiwa ubadili kila unapofanya Service ya Engine Oil na kuna wanaosema hii haitakiwi kubadilishwa labda kama utaona gari yako inachelewa kubadili Gear, Je kipi ni sahihi kwa upande ATF inafaa kubadilishwa kila service ?