Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Gearbox automatic ina oil yake maalum initwa ATF (Automatic Transmission fluid), na kuna aina nyingi sana za mafuta hayo. Kila gari ina aina yake. Ukiweka namba 90 utaua gearbox yote. Namba 90 ni kwa gearbox za stick shift na diff; usiiweke kwenye atumatic transmission

Mkuu pia kuna ubishani wa kubadili hii ATF kuna wengine wanasema unatakiwa ubadili kila unapofanya Service ya Engine Oil na kuna wanaosema hii haitakiwi kubadilishwa labda kama utaona gari yako inachelewa kubadili Gear, Je kipi ni sahihi kwa upande ATF inafaa kubadilishwa kila service ?
 
Mimi huwa nabadili kila baada ya kilometers laki moja(100,000). kwa huku nilipo nainunua laki moja kwa laki na kumi... na engine oil nabadili baada ya 8,000 km
 
Hiyo Nissan cube yako kama ni model ya 2005 itakuwa inakuja na gear box ambayo ni CVT. ...fluid yake ni NS 2 cvt fluid... lita 4 inauzwa 140000/- mpka 150000/...inategemea unaishi wapi.
Soma pale kwenye dewp stick ya gear box wameandika aina ya fluid.
oil ya gearbox ya gari ndogo nayo ni namba90?
 
Kwenye hili ningekushauri uangalie user manual ya gari lako inapendekeza nini....
Kwa mfano User manual ya Nissan nyingi ninazozisoma zinapendekeza ubadilishe transmission fluid kila baada ya Maili 20000 kama huwa unaendesha karika mazingira magumu, milima na kuvuta au kubeba mizigo...
Kama gari halipati dhoruba za milima, mizigo n.k badilisha kila baada ya maili 30000....
Kwa wastani unaweza kubadilisha kila baada ya miaka 2 au 3....

NB...hizo Miles zidisha kwa 1.6 utapata km zinazotakiwa...na hizo recommendations ni za NISSAN lakini naamini zinafanya kazi kwa brand nyingi za Japan..

Mkuu pia kuna ubishani wa kubadili hii ATF kuna wengine wanasema unatakiwa ubadili kila unapofanya Service ya Engine Oil na kuna wanaosema hii haitakiwi kubadilishwa labda kama utaona gari yako inachelewa kubadili Gear, Je kipi ni sahihi kwa upande ATF inafaa kubadilishwa kila service ?
 
Mkuu hili tatizo lipo sana kwenye engine ya 1jz d4 nami linanisumbua sana pump ya mafuta nimebadili lakini hakuna nafuu , oil natumia nyepesi ya 5w synthetic.
Umshepewa majibu sahihi kuwa ni swala la oil. Injini yako ina hydraulic valve lifters, yaani tappets. Kinachoteka ni kuwa oil inakuwa haiwezi kupenya kiasi cha kutosha ili kusukuma tappets kufungua valve; kwa hiyo injini inakuwa na misfire ndogondogo mwanzoni. Oil ikishapata joto la kutosha na viscosity yake kupungua, ndipo inapoweza kupenya vizuri kusukuma tappets na hapo ndiop unaposikia gari limeanza kuunguruma vizuri. Hiyo ikiendelea kwa muda mrefu inaweza kukuharibia injini kwa vile baadaye inaweza kuziba matundu ya lifters na kusababisha misfire kubwa
 
Mkuu pia kuna ubishani wa kubadili hii ATF kuna wengine wanasema unatakiwa ubadili kila unapofanya Service ya Engine Oil na kuna wanaosema hii haitakiwi kubadilishwa labda kama utaona gari yako inachelewa kubadili Gear, Je kipi ni sahihi kwa upande ATF inafaa kubadilishwa kila service ?
Ndg zangu pendeleeni kusoma manula za magari yenu ili yaweze kudumu kwa mda mrefu na wengi wanaoshauri hivyo ni mafundi uchwara atf unatakiwa ubadili kila baada ya km 30,000
 
Mkuu pia kuna ubishani wa kubadili hii ATF kuna wengine wanasema unatakiwa ubadili kila unapofanya Service ya Engine Oil na kuna wanaosema hii haitakiwi kubadilishwa labda kama utaona gari yako inachelewa kubadili Gear, Je kipi ni sahihi kwa upande ATF inafaa kubadilishwa kila service ?
ATF inachukua muda mrefu sana; kwa magari ya kimerekani ni kati ya maili 50,000 na maili 100,000
 
Mkuu hili tatizo lipo sana kwenye engine ya 1jz d4 nami linanisumbua sana pump ya mafuta nimebadili lakini hakuna nafuu , oil natumia nyepesi ya 5w synthetic.
Kama ni tatizo sugu jaribu kuwauliza mafundi wako wakuchekie zile hydraulic valve lifter; huenda mbili au tatu zimeshakuwa na masizi kwa hiyo vitundu vimeshakuwa vyembamba sana, ama sivyo huenda injector zako ndizo zina masisizi. Kwa matatizo ya injector utakuta hata silence yake inakuwa siyo nzuri
 
Mkuu kichuguu pole na majukumu ya kutusaidia watanzania wenzako.
Gari yangu inawasha taa ya over heat kila nikitembea zaidi ya km 160-180 na kwa mara ya kwanza ilipandisha na nilitakiwa kusimama kila baada ya km chache ili kusubiri engine ipoe baada ya safari hiyo nilienda kwa fundi akaniambia radiator ni chafu na fane ya radiator ilikua imegeuzwa badala ya kuvuta upepo kufuata engine ilikua inasukuma upepo kufuata muelekeo wa gari.. tulisafisha radiator na baada ya kufanya testing kwenye kilima kikali iliwasha tena taaa. Fundi akasema tatizo lipo kwenye cylinder head.
Sikulizika na majibu yake nikaomba muda wa kujitathmini ila mpaka sasa sijarudi takribani siku kumi kwa fundi na safari fupi fupi za mjini inazimudu naomba msaada wa ushauri wa kiufundi mkuu
 
Unaweza kuwa umesafisha vyote lakini ukasahau kuiwekea coolant kwenye radiator mkuu? Vip ulikifanya hicho kitu au rejeta yako unaweka maji badala ya coolant that's y inachemka kiasi hicho
 
Mkuu kichuguu pole na majukumu ya kutusaidia watanzania wenzako.
Gari yangu inawasha taa ya over heat kila nikitembea zaidi ya km 160-180 na kwa mara ya kwanza ilipandisha na nilitakiwa kusimama kila baada ya km chache ili kusubiri engine ipoe baada ya safari hiyo nilienda kwa fundi akaniambia radiator ni chafu na fane ya radiator ilikua imegeuzwa badala ya kuvuta upepo kufuata engine ilikua inasukuma upepo kufuata muelekeo wa gari.. tulisafisha radiator na baada ya kufanya testing kwenye kilima kikali iliwasha tena taaa. Fundi akasema tatizo lipo kwenye cylinder head.
Sikulizika na majibu yake nikaomba muda wa kujitathmini ila mpaka sasa sijarudi takribani siku kumi kwa fundi na safari fupi fupi za mjini inazimudu naomba msaada wa ushauri wa kiufundi mkuu
Kama walisafisha radiator vizuri; na bado gari linachemsha basi sababu kubwa itakuwa ni water pump. Kwa kawaida gari ikiwa na km 150,000 unatakiwa ubadilishe vitu kadhaa kama vile water pump, idler pulley na AC clucth, na iwapo inatumia timing belt, basi nayo ubadilishe. Sasa kama gari yako ikow kwenye range hiyo ya km 135,000, hadi 165,000 basi huenda water pump yako ndiyo mgomvi wako mkuu. Kama sivyo huenda pia motor ya fan nayo itakuwa imeaza kuchoka, lakini tatizo nina imani kubwa kuwa adui yako ni water pump tu.
 
Je Gari ndogo kama imefika kilometa 250k 5W-40 ina madhara? na kama ina madhara na ndiyo ilikuwa inatumika ushauri wako ni upi kiongozi
Kwa umri huo, inawezekana 5W-40 isiwe tatizo sana kwa injini lakini bado nisingeshauri ufanye hivyo. kama ndiyo ulikuwa unatumia muda wote, basi endelea nayo, lakini utakuwa pia ulifupisha maisha ya injini yako.
 
Kama walisafisha radiator vizuri; na bado gari linachemsha basi sababu kubwa itakuwa ni water pump. Kwa kawaida gari ikiwa na km 150,000 unatakiwa ubadilishe vitu kadhaa kama vile water pump, idler pulley na AC clucth, na iwapo inatumia timing belt, basi nayo ubadilishe. Sasa kama gari yako ikow kwenye range hiyo ya km 135,000, hadi 165,000 basi huenda water pump yako ndiyo mgomvi wako mkuu. Kama sivyo huenda pia motor ya fan nayo itakuwa imeaza kuchoka, lakini tatizo nina imani kubwa kuwa adui yako ni water pump tu.
Asante sana ndugu kichuguu
 
Je Gari ndogo kama imefika kilometa 250k 5W-40 ina madhara? na kama ina madhara na ndiyo ilikuwa inatumika ushauri wako ni upi kiongozi
Kinachoshauliwa kwenye gari tumia engine oil ambavyo iko recommended na watengenezaji hata kama gari itafikia km 300000 tumia oil iliyoshauliwa kinachobadilika hapa ni mda wa kumwaga oil tu kwa wakati na kuweka mpya: naomba nieleweke vizuri ni kumwaga oil na kuweka mpya na sio kuongezea oil maana kuna watu nawauzia oil hivyo hivyo ukimshauri amwage yey atakwambia imepungua kidog nataka ya kujazia tu hilo ni kosa kubwa sana unaua engine yako bila wewe mwenyewe kujijua
 
Angalia aina ya oil unayoitumia ni nzito sana hivyo kufanya kazi hadi joto la engine liwe kubwa ndo iweze kusambaa vzr nakushauri kwa aina hiyo ya gari tumia oil 5w30/10w30 umekosa sana tumia 5w40 achana na sae40
Hicho kisanga huwa kinanitokea na mm hasa nkiwa kwenye gia ndogo inalia kakakakaka nkikanyaga acc ila ukiachia ukakanyaga tena inapotea gar imeandikiwa 5w30 but huwa naweka 5w40 bcz huku mkoani ndio easy kuipata na engine ni 1kr-fe 1.0l
 
Back
Top Bottom