Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,503
- 19,342
Oil za SAE40 ni sawa kabisa na 10W-40 au 20W-40 ila hazihimili mazingira ya baridi; zinaweza kufanya kazi vizuri tu kwenye injini yenye umri mkubwa lakini ni nzito kidiogo kwa gari ambayo bado ni kinda; gari hadi inapofikia km100,000 bado ni kinda.Na oil za SAE40 kwa gari ndogo zina madhara gani?
Yes kweli kabisa hiyo ni sababu mojawapo; ndiyo maana majibu kamili yanatokana na computer scan. Hata hivyo timing belt ikianza kutuma ujumbe, lazima engine perfomance pia huanza kuharibika, na dereva ata-notice mabadiliko ya tabia za gari. halafu ile belt ya serpentine ikichoika utaanza kusikia sauti za mkwaruzoYawezekana pia inakukumbusha mda wa kubadilisha engine belt umefika
Inaonekana tunepwa Manual za Magari ya Marekani na Canada tu. Kwenye mwaka 2002, hakuna model ya Toyota inayoanza na SToyot succeed UB-NCP55V-FXPGK mwaka 2002.
Mkuu, nimeku text inbox!Inaonekana tunepwa Manual za Magari ya Marekani na Canada tu. Kwenye mwaka 2002, hakuna model ya Toyota inayoanza na S
View attachment 1195518
Jamaa aliyekuwa ananitafutia equivalent model yake kwenye soko la marekani ameniambia kuwa model Succeed ilikuwa ni kwa ajili ya Soko la japan, ila model ya Probox ndiyo waliyouza kwenye soko la Amerika ya Kusini, na vitabu vyake viliandikwa kihispania, hakuna cha kiingereza.
Na oil za SAE40 kwa gari ndogo zina madhara gani?
Ok mkuu nashukuru kwa jitihada zako.Inaonekana tunepwa Manual za Magari ya Marekani na Canada tu. Kwenye mwaka 2002, hakuna model ya Toyota inayoanza na S
View attachment 1195518
Jamaa aliyekuwa ananitafutia equivalent model yake kwenye soko la marekani ameniambia kuwa model Succeed ilikuwa ni kwa ajili ya Soko la japan, ila model ya Probox ndiyo waliyouza kwenye soko la Amerika ya Kusini, na vitabu vyake viliandikwa kihispania, hakuna cha kiingereza.
Kichuguu amekujibu vizuri..niongeze kidogo..
Angalia pia Catalytic converter kama ipo...kuna baadhi ya mafundi ukiwaachia gari wanaiba yale masega na kuyauza bei ghali...
Baadhi ya magari yana Oxygen sensor 2, moja huwa kabla ya cat na nyingine huwa baada ya cat....endapo yale masega yameondolewa, basi ile sensor ya pili hushindwa kusoma kiwango cha oxygen ambacho hakijaunguzwa kwenye combustion chamber....kwa nini inashindwa kusoma..? kwa sababu hamna cat hivyo gesi zinapita pale kwa kasi zaidi kuliko kiwango kilichokuwepo mwanzo...Hivyo Oxygen sensor hupeleka taarifa kwwnye ECU kuwa kuna shida katika mfumo wa exhaust...ndiyo unapata check engine light...
Japo kuna magari unaweza ukaondoa Cat converter na check engine light isiwake....mfano gari nililonalo..
Kama hawajaiba hayo masega, fuata ushauri wa kichuguu...lakini zingatia zaidi Oxygen sensor na MAF sensor...
Usisahau, kuna magari hayataki shida..hata Air filter ikiwa chafu sana yanaonyesha check engine light.
Kwa gari la mwaka 2000 kama kweli Emmanuel S Jonathan amebadilisha sensors zote, nina uhakika kwa 95% kuwa tatizo lake ni Catalytic Converter. Njia moja ambayo siyo professional lakini unaweza kuzima catalytic converter light forever ni ile ya kuunganisha downstream oxygen sensor mpya kwenye kipande kinachoitwa catalytic converter fouler. States nyingi Marekani haziruhusu matumizi yake lakini watu wanaziuza ebay na Amazon kama kawaida. Nina imani kuwa kitu hiki kwa Tanzania kinaruhusiwa tu, lakini sisi haturuhisiwi kuviweka kwenye magari ya wateja. Kukitumia, inabidi ukiweke sehemu ya Oxygen sensor kwenye cat conv yako, halafu unaingiza oxygen sensor ndani yake. Kwa hiyo Oxygen sensor itakuwa haisomi Oxygen level halisi ya kwenye exhaust bali level iliyoko kwenye fouler hiyo, ambayo ni nzuri. Computer (ECU) ya injini inakuwa inadanganywa kuwa mambo yote ni fit wakati siyo kweli, na hivyo taa haiwaki kabisa.
Mtu akivichangamkia Tanzania anaweza kulamba hela nzuri tu.
View attachment 1194810
Nipo Toyata yaris (Vitz) yenye engine ya 2SZ then is it safe kuweka oil grade SAE40? Ambayo ni mineral oil na sio synthetic na nikawa na change after few km Mfano 3000km?? (note: my car has 150, 000km on clock though still running strong with original engine.Oil za SAE40 ni sawa kabisa na 10W-40 au 20W-40 ila hazihimili mazingira ya baridi; zinaweza kufanya kazi vizuri tu kwenye injini yenye umri mkubwa lakini ni nzito kidiogo kwa gari ambayo bado ni kinda; gari hadi inapofikia km100,000 bado ni kinda.
Mkuu naomba kujua matumizi ya 1,2,3 na L kwnye gear lever kwa gari za automatic transimission
Cc Kichuguu
Kuna mwana specs za gari zinataka 5w-30 yeye akang'ang'ania hio SAE40 kisa ni bei rahisi(kuna sehemu lita 4 wanauza Tsh.28,000) wkt 5w-30 lita 4 nanunua Tsh.80,000,aisee gari yake hua inaunguruma kama tractor/matatizo kwny gari yake ni kila mara imebidi juzi hapa aweke engine nyingine.
Mkuu hizi SAE ndo zimejaa dukaniNiliwahi kutumia SAE 40...gari lilikuwa likiwashwa asubuhi, silence inakuwa juu sana na kwa muda mrefu...ilikuwa inakaa kwenye RPM 3 kwa muda zaidi ya dakika 3 au 4ndiyo inashuka pole pole...wakati huo mlio ulikuwa si ule wa kawaida.....ikawa mpka niendeshe umbali fulani injini ipate moto wa kutosha ndiyo mambo yanakaa sawa....hivyo nashauri watu tuzoee 5w 30 utalifurahia gari lako..
Hizo SAE 4 hebu tuwaachei watu wa Canter, Hilux zile za zamani, DCM, Daladala Coaster zilizochoka n.k
Gari ndogo yoyote ile, ushauri wangu ni SAE20 (aka 5W-20 au 10W-20) au SAE30 (aka 5W-30 au 10W-30); Ukishaaza kurukia SAE40(aka 10W-40 na 20W-40) au SAE50(aka 10W-50 au 20W-50) unakuwa unaumiza sana injini yako. harafu kubadili kwa interval ndogo hakusaidi chochote, ndiko kunakoumiza zaidi injini yako, kwani oil ile ikiwa mpya ndipo inakuwa na viscosity kubwa ambayo ndiyo inayoumiza gari, ikishachakaa inaaza kuwa majimaji na kupunguka viscosity.Nipo Toyata yaris (Vitz) yenye engine ya 2SZ then is it safe kuweka oil grade SAE40? Ambayo ni mineral oil na sio synthetic na nikawa na change after few km Mfano 3000km?? (note: my car has 150, 000km on clock though still running strong with original engine.
Swali lingne gari yangu ipo na gearbox ya CVT, then what is recommended interval ya change CVT transmission fluid kwa gari ya gear box hyo?
Tatu, hii gari ipo na option ya engine brake..yan pale kwenye gear lever kuna option B, je gari kwenye speed ya 80km/hr ninaweza shift kwenye B bila kuleta changamoto kwenye engine?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kweli na nimeishandika sana hapa; oil namba 40 (yaani SAE40 au 10W-40 au 20W-40) na 50 (yaani SAE50 au 10W-50 au 20W-50) ni kwa ajili ya magari makubwa na yale makuukuu sana. Gari ambalo injini yake bado iko fit, unatakiwa oil namba 20, na ukizidi sana basi ni namba 30 ila usizidi hapo.Kuna mwana specs za gari zinataka 5w-30 yeye akang'ang'ania hio SAE40 kisa ni bei rahisi(kuna sehemu lita 4 wanauza Tsh.28,000) wkt 5w-30 lita 4 nanunua Tsh.80,000,aisee gari yake hua inaunguruma kama tractor/matatizo kwny gari yake ni kila mara imebidi juzi hapa aweke engine nyingine.
Ni kweli...kwa sababu hizi 5w 30 si kila duka utaipata...Mkuu hizi SAE ndo zimejaa dukani
Nashukuru kwa feedback..nakubaliana na wewe CVT ipo poa sana, yaan gari inakua ina very steady acceleration with no gear hunting kama ordinary automatic gear, and no gear shift shocks.Gari ndogo yoyote ile, ushauri wangu ni SAE20 (aka 5W-20 au 10W-20) au SAE30 (aka 5W-30 au 10W-30); Ukishaaza kurukia SAE40(aka 10W-40 na 20W-40) au SAE50(aka 10W-50 au 20W-50) unakuwa unaumiza sana injini yako. harafu kubadili kwa interval ndogo hakusaidi chochote, ndiko kunakoumiza zaidi injini yako, kwani oil ile ikiwa mpya ndipo inakuwa na viscosity kubwa ambayo ndiyo inayoumiza gari, ikishachakaa inaaza kuwa majimaji na kupunguka viscosity.
Transmission za CVT ni nzuri sana kwa ride zake kwani ni smooth sana lakini pia zina matatizo kadhaa ya utunzaji. Kwaza kama una kitabu chake, soma manufacturer anashauri ubadilishe kila baada ya km ngani, hata hivyo CVT transmission nyingi katika uendesjhaji wa mijini ambako kuna traffic lights na folleni nyingi hushauriwa kuwa kila baada ya km kati ya 25,000 na 30,000 uwe unabadilisha oil ya transmission pamoja na filter yake. Ingawa kuna mafundi wanaweza kukushauri usibadili oil ile, huo siyo ushauri mzurii kabisa kwani oil yoyote hupoteza sifa zake baada ya kutumika kwa muda fulani, jenga utaratibu wakubadilisha kabla ya kuzidi km 30,000
Mkuu nimefungalNisikudanganye, jibu la swali hilo silijui ingawa pia naamini huenda haiwezekani kwa sababu nadhani injini hizo zina mounting zinazotofautiana. Kwa hiyo hata ukifanikiwa kufanya hivyo, unaweza kukuta unasababisha gari kuwa na vibrations sana.
Ndio, ni ya petrol mkuu 1nzSawa mkuu...hili jambo lina mkanganyiko sana...gari yako ni ya petrol?
Mkuu hizi SAE ndo zimejaa dukani