nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 996
- 826
Habari endrizzy kijana wangu amemaliza Diploma sasa ameanza Digrii na amemaliza mwaka mmoja ninaniya ya kuomba mkopo, viambatanisho ni nyaraka zipi?habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
SUA.
UDSM
MZUMBE
UDOM
IFM
TIA
CBE
TIA
NIT