Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
Habari endrizzy kijana wangu amemaliza Diploma sasa ameanza Digrii na amemaliza mwaka mmoja ninaniya ya kuomba mkopo, viambatanisho ni nyaraka zipi?
 
Kwa mtu aliyepata mkopo healb ila ukawa haumtoshi,akataka kuappeal aongezewe et,inawezekana akappeal af akapunguziwa kabsa?
 
Mkuu post za diploma health public colleges si ni usiku wa leo ndo wanatoa??naweza vipi kuona??
 
Je matokeo yako yakiwa si mazuri kama ni continues kuna uwezekano wa kupunguziwa mkopo ata kama allocation zako zinaonyesha umenufaika miaka yote 3?
 
Je mtu mwenye diploma ya it anaruhusiwa kuomba degree ya psychology and counselling, au law enforcement?
 
Bado halijafunguliwa..mpaka majibu ya waliopata yatoke

Kuna dogo mwaka jana alifungua account kwa leo la kuomba AVN number lakini hakupata na mwaka huu amejaribu kulog in amejikuta amesahau username na password..
Naomba msaada jinsi ya kureset maana kila tiki jarib I kuanza upya inaonekana tayari kuna account yake amesahau username na password.
Ndgu msaada wako ni muhimu sana ili apate AVN.
 
Done!!!
 
kwenye fomu ya mkopo sehemu ya mzazi kama ukijaza unknown bodi watahitaji uthibitisho wowote?

Ndio sana tu, chet chako cha kuzaliwa nacho sehem hiyo ya mzazi asiyepo iwe imeandikwa unkown, au XXX, na uthibitisho muhimu pia..
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana

SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
Samahani naomba kujua,nawezaje kuona gharama za masomo ngazi ya diploma kwa vyuo vilivyo under TCU kwa sababu vilivyo under NACTE kwenye guide book unazikuta gharama za Kila chuo
 
Back
Top Bottom