Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Asante kwa fusra hii
Mdogo wangu wa kike alisoma O - Level shule ya kawaida, akafanya mthani kwa mfumo wa NECTA, akapata Div 1 (9), baadaye wakati akijiandaa kuingi kidato cha 5 akapata scholarship shule moja binafsi lakini inafuata mfumo wa IB, ameshamaliza kidato cha 6 kwa mfumo wa IB na sasa anataka kujiunga na chuo na amepanga kusomea udaktari.
a) Anaanzia wapi? HESLB, TCU, au chuoni
b) Alama zake au matokeo yake yako kwenye mfumo wa IB, je, mfumo huu unatambulika kwa kujiunga na chuo cha hapa Bongo>
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
1.UDSM
2.UDOM
3.SUA
4.MZUMBE
5.IFM
6.TIA
7.CBE
8.DIT
9.MUST
10.MWALIMU NYERERE.
Mkuu kuna hili suala la uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa rita,,..
Hizi cheti kikiwa kwenye processza kuhakikiwa majibu hayajatoka naweza kuendelea kuomba mkopo
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
1.UDSM
2.UDOM
3.SUA
4.MZUMBE
5.IFM
6.TIA
7.CBE
8.DIT
9.MUST
10.MWALIMU NYERERE.

Naomba msaada jinsi ya kureset account baada ya kusahau username na password
 
Mkuu dogo kaenda kwa mujibu kanitumia paspoti size picture Kwa wasap sasa nikiiweka online fom ya mkopo inataka size ya 150px x 120px msaada hapo mkuu
 
Msaada kama umesajiliwa chuo mwaka jana haukufanikiwa kusoma mwaka huu ukaomba chuo kingine ni lazima ujifute kile cha mwanzo au utaratibu upoje
 
Kwaiyo mkuuu nafata procedure za kawaida tuuuu ila matokeo yngu ya ue yawe mazuri!

IMG_0433.jpg

Yani uambatanishe matokeo ya ue/report wakati wa kutuma kwa EMS
 
habari wana Jf karibu uulize chochote kuhusu mwaka wa kwanza watarajiwa songea uulize jambo lolote linalohusu bodi ya mkopo , kujiunga chuo chochote. sana sana
1.UDSM
2.UDOM
3.SUA
4.MZUMBE
5.IFM
6.TIA
7.CBE
8.DIT
9.MUST
10.MWALIMU NYERERE.
SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
 
Habari yako Boss✊ Kuna mtu anataka kuapply ualimu nacte lakini hakuchaguliwa first selection ninaanzaje!?
 
Wakiomba urudie ku attach documents fulan kama zina miss unawez tumia zile nakal ku attach au unatakiwa kuanza upya
 
Wakiomba urudie ku attach documents fulan kama zina miss unawez tumia zile nakal ku attach au unatakiwa kuanza upya
Inategemea umeombwa document gani...!kama ni vyeti ambavyo tiyari vimethibitishwa na Rita,una attach hizo hizo.Hurudii process nzima bali documents pekee ulizo omba.Hii ni kama uliuliza kuhusiana na bodi ya mikopo Heslb...!
 
Back
Top Bottom