Niulize chochote kuhusu HESLB, NACTE na TCU

Na kwa kuongezea. Verification code ili iwe kuwa active kutumika itakulazimu kusubiri kwa siku 5-10 kwa siku za kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa verification code na Rita na nimemaliza kuapply loan board tatizo Ni cheti toka Rita chenye muhuri wao ili niattach na fomu za heslb nitume kwa ems. Tatzo litakuwa nini hapo msaada
 
Nimepewa verification code na Rita na nimemaliza kuapply loan board tatizo Ni cheti toka Rita chenye muhuri wao ili niattach na fomu za heslb nitume kwa ems. Tatzo litakuwa nini hapo msaada. Application heslb nimemaliza kam wiki 2 sasa ila cheti cha kuzaliwa Rita bado soft copy japo code nilipata ndio nilzotumia kuomba mkopo
 
Duh !! umemaliza mpk copy umeshatoa ?
 
Naomba kuuliza....
?..Je ni muda gani chuo husika au college kinatuma matokeo kwenda nacte kwajili ya confirmation au confirmed by nacte
?..Na Je Nacte wanatumia muda gani kufanya confirmation ya matokeo au ku confirm matokeo yaliyo tumwa na chuo..
Nimemaliza Diploma
Subiri wadau
 
Kwamfano ukiwa umechaguliwa chuo na hujaenda na uliomba mkopo na ukapata ila ukwenda chuo ukikaa baada ya miaka miwili ukaomba tena kwenda chuo je unaweza kupata mkopo??
 
Kwamfano ukiwa umechaguliwa chuo na hujaenda na uliomba mkopo na ukapata ila ukwenda chuo ukikaa baada ya miaka miwili ukaomba tena kwenda chuo je unaweza kupata mkopo??
Rita upataje cheti chenye muhuri wao kilicho hakikiwa.? Mi nlivyopata tu namba ile ya uhakiki nkatumia hyo. Cheti hawajanitumia bado.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom