Bei ya fremu ya biashara kupangisha Goba centre ni sh ngapi?single elfu 40 kwa maeneo ya karibu na stendi unaweza kuta adi elfu 50...
Chumba na sebule kuanzia elfu 70
Ahaaa palikuwa na gari tatu goba miaka ya 2000, zikikupita hizo mjini huendi labda utembee...palikuwa na Landlover 110 ya Tesha, bongo man na mbava zilikuwa zinapaki bwaloni....zikiondoka watu walitoa msaada wa usafr marehemu Major Nyange Mungu amrehemu alikuw na Mitsubishi pick up ya jeshi nyeupe na Major Mavika alikuw na KIA hao walikuwa Wana saidia usafir way back goba enz umeme hakun enz za mzee juu juumkuu wew ni mkongwe wa Goba?
unakumbuka gari la Mangi miaka ya 2000 land rover bovu bovu hivi