Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,538
- 3,826
100% unasomaUfaulu wangu ni chem-c bio-c phy-d math-f je naweza kusoma
Sent using Jamii Forums mobile app
100% unasomaUfaulu wangu ni chem-c bio-c phy-d math-f je naweza kusoma
how can i treat 24 year old man with deforming arthropathy and limitation of hip movement. He also has features of aortic stenosis and allergy to food in a way that he develop vomiting from certain foods with irritability, impairment in memory, forgetting, and nervousness.Habari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
Refer to the nearest higher centerhow can i treat 24 year old man with deforming arthropathy and limitation of hip movement. He also has features of aortic stenosis and allergy to food in a way that he develop vomiting from certain foods with irritability, impairment in memory, forgetting, and nervousness.
Sijakuelewa!???
Wanasoma ila Minor surgeryMBONA SURGERY HAMSOMI? NDIYO MAANA KUNA UPUNGUFU WA WATAALAMU WA UPASUAJI. Au ngumu?
Kwa diploma vyuo gan vinatoa hi courseHabari Wadau Kwa Mwenye Maulizo Yoyote Kuhusu Course Ya Clinical Medicine (CO & CA)
Usisite Kuuliza Hapa:
1. Admission
2. Modules
3. Mikopo
4. Life La Kitabu
5. Maswali
6. Ushauri
7. Msaada Wowote.
Zipo Ndugu! Ni Pm Number Ya Whatsapp Au E mail Nikutimie
Vyote Vya Serikali Viko Vizuri! Ila Naweza Kuizungumzia Mtwara COTC Ni Kizuri Maana Ndipo Nilipo! Ni Kizuri (SHULE IPO, WALIMU, MAJI, UMEME ,HOSPITAL + MAJENGO) Karibu
Mdogo Kwa Kauli Zako Mkuu Na Maandishi!!! But In Practice Hao MD Wengi Ni Vilaza! Sikatai MD Ni Wakubwa.