Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Notes biashara ya kukopesha ngumu sana

Natoa ushauri Kama unataka kuingia kwenye biashara ya duka jaribu kuuza bidhaa zako kwa cash

Usiruhusu kuuza bidhaa zako kwa njia ya kukopesha
 
Mteja wangu wa duka la rejareja ametoa order kesho mzigo wake ufanyiwe delivery
IMG_20210602_193018_6.jpg
 
Swali zuri Sana

Kwanza kabisa duka lako unatakiwa kuli-manage unatakiwa kuwa na list nzima ya bidhaa unazotaka kuziuza : unaweza kutumia Software kwenye kutunza kumbuka kumbu au Daftar....

Mfano umeingiza mzigo

1 Tomato souce dozen 10

2 Chumvi kubwa dozen 15 ndogo dozen 10

3 Sabuni White wosh dozen 15

4 Big G Gomba dozen 5

5 Pipi kijiti dozen 5

6 Biscuits chocolate dozen 10

7 Biscuits Maziwa dozen 7

8 vibiriti dozen 10

9 Sembe viroba 50

Ukiuza kwa siku unaandika record

Mfano

Tomato dozen 1 au 3

Biscuits chocolate dozen 2 au 4

Chumvi kubwa dozen 3

Vibiriti dozen 2

Sembe viroba 12

Kwahiyo hii itakusaidia kujua kwa siku umeuza bidhaa ngapi na faida kwa siku pia utaijua

Store pia utajua bidhaa fran imebakia ngapi

Ili uweze kujua faida ulipata kwa siku na rahisi mfano Tomato ulinunua dozen elf 11,000 na wewe ukauza dozen moja elf 15,000 ujue faida yako hapo elf 4,000

Mfano biscuits chocolate dozen ulinunua dozen 13000 ukauza elf 16000 ujuee faida yako elf 3,000

Mfano Sembe ulinunua mfuko 15500 na ukauza 17500 ujue faida yako kila mfuko elf 2000 kwa mifuko 12 jumla 2,4000

So kwa mifano hiyo I hope umenielewa mkuu?

Unaweza kutengeneza sheet/ daftari lenye column za hivi: DATE|AINA YA BIDHAA|UJAZO|BEI YA MANUNUZI| BEI YA KUHUZA| IDADI YA MAUZO|JUMLA YA MAUZO|FAIDA|BAKI
Hiyo inasaidia kudhibiti stock yako na kujua records karibu zote kujua idadi ya vitu ulivyonunua, bei yake, mauzo na faida kiasi gani umetengeneza.Mi nashauri ukitaka kufanya biashara ya duka la jumla uwe na vitu vifuatavyo, 1/ set ya computer + printer 2/ Softwware ya mauzo 3/ Barcode scanner( hii itakusaidia kurecords stock yote wakati unaingiza mzigo dukani na wakati unauza pia itakupa idaidi ya balance iliyopo store , hivi vyote vinafanyika automatic pindi unaposcan ktk barcode) achana na biashara ya daftari. Kingine mihimu ukitaka mafanikio zaidi weka gawanya duka lako ktk idara tofauti mfano: idara ya manunuzi, idara ya stores, idara sales na idara ya uhasibu, hapo utakuwa utakuwa unefanya jambo la mbolea sana hata wahindinwenginwanafanikiwa kwa mtindo huo.Usihuze bidhaa kabla ya kuingiza ktk mfumo wa mahuzo yaani ktk computer system.
 
Projections za faida mkuu zikoje

Kwa mfano mtaji wa milioni 10 na mzunguko wa kutosha unaweza tengeneza faida kiasi gani kwa mwezi?
Faida yake ni ndogo ila utokaji wa bidhaa haraka ndio itakupa faida nyingi mfano kila kiroba cha sembe kg 25 na ngano kg 25 faida yake ni 1000 kwa kila kimoja na mafuta dumu lita 20 faida yake ni 2000 au hata 1000 pia itategemea vingine venye faida ni vile ambavyo utanunua kwa catoni na wateja wanataka kwa dazeni hapo faida yake inakua kubwa kidogo mfano viberiti ukinunua caton 37500 uutauza 40000 ila ukigawanya kwa dazeni utapata 45000.
 
Ya unaweza kuanza ujuee duka la jumla huwa linagawanyika kwenye makundi wengi Sana kwahiyo inakupa urahisi wakuchagua biashara yako uingie kwenye kundi lipi

Kuna maduka ya jumla ya vinywaji

Kuna maduka ya jumla ya Vyakula

Na kuna mduka ya jumla yakuuza vitu mchanganyko

Mfano Dawa ya meno, Mafuta ya kujipaka,tochi, chumvi, pemepers betri Pedi, kufuli Super Gruue, marapa,biskuti sabuni

Sasa mfano ukiweka sabuni unatakiwa kuwa nazo Aina 4 Hadi 5 kuna wateja watakuja watahitaji Ya Mo kuna wengine watahitaji Bakharesa nk...

Ukija kwenye dawa ya meno unaweka kalibia Aina 3

View attachment 1792595
Hii app inaitwaje?
 
Swali zuri Sana

Kwanza kabisa duka lako unatakiwa kuli-manage unatakiwa kuwa na list nzima ya bidhaa unazotaka kuziuza : unaweza kutumia Software kwenye kutunza kumbuka kumbu au Daftar....

Mfano umeingiza mzigo

1 Tomato souce dozen 10

2 Chumvi kubwa dozen 15 ndogo dozen 10

3 Sabuni White wosh dozen 15

4 Big G Gomba dozen 5

5 Pipi kijiti dozen 5

6 Biscuits chocolate dozen 10

7 Biscuits Maziwa dozen 7

8 vibiriti dozen 10

9 Sembe viroba 50

Ukiuza kwa siku unaandika record

Mfano

Tomato dozen 1 au 3

Biscuits chocolate dozen 2 au 4

Chumvi kubwa dozen 3

Vibiriti dozen 2

Sembe viroba 12

Kwahiyo hii itakusaidia kujua kwa siku umeuza bidhaa ngapi na faida kwa siku pia utaijua

Store pia utajua bidhaa fran imebakia ngapi

Ili uweze kujua faida ulipata kwa siku na rahisi mfano Tomato ulinunua dozen elf 11,000 na wewe ukauza dozen moja elf 15,000 ujue faida yako hapo elf 4,000

Mfano biscuits chocolate dozen ulinunua dozen 13000 ukauza elf 16000 ujuee faida yako elf 3,000

Mfano Sembe ulinunua mfuko 15500 na ukauza 17500 ujue faida yako kila mfuko elf 2000 kwa mifuko 12 jumla 2,4000

So kwa mifano hiyo I hope umenielewa mkuu?
Tomato ipi ambayo unapata faida 4000? Nachoelewa hii biashara faida kubwa 1000 kwa bidhaa
 
Tomato ipi ambayo unapata faida 4000? Nachoelewa hii biashara faida kubwa 1000 kwa bidhaa
Ukinunua mzigo mkubwa kwa Ajent Bei inakua ndogo faida ya 4,000 ndio kwa tomato

Dozen moja ya tomato duka la rejareja box anapata 2,4000 Pc moja ya tomato elf 2,000
 
Ukinunua mzigo mkubwa kwa Ajent Bei inakua ndogo faida ya 4,000 ndio kwa tomato

Dozen moja ya tomato duka la rejareja box anapata 2,4000 Pc moja ya tomato elf 2,000
Tomato pc moja ni 1500 karibia kila mahali mkuu hiyo 2000 kuna mtu ananunua kweli? Labda uwe kwa washua huko
 
Tomato pc moja ni 1500 karibia kila mahali mkuu hiyo 2000 kuna mtu ananunua kweli? Labda uwe kwa washua huko
Tomato Kuna ndogo nakubwa hii kubwa ya Toptang huku kwetu vibanda vya chips hununua kwa 2000 pc moja
 
Ukinunua mzigo mkubwa kwa Ajent Bei inakua ndogo faida ya 4,000 ndio kwa tomato

Dozen moja ya tomato duka la rejareja box anapata 2,4000 Pc moja ya tomato elf 2,000
Unafanya kweli hii biashara boss? Maana tomato kubwa red gold ukinunua kwa agent ni 14,000 mpaka 14,500 na kuuza kwa mtu wa rejareja ni 15,000 ambapo yeye anauza 1,500 kwa piece moja ambapo anapata 18,000
 
Bei zinacheza kila brand sasa tomato ya Ivori Ajent anauza dozen elf 11,000
 
Hii biashara unafanyia mkoa gani? Maana kwa hapa Dar hakuna tomato inayofua dafu kwa Red Gold na ndio inatumika sehemu nyingi. Na dukani ili ufanye biashara basi lazima uweke bidhaa inayopendwa na watu na siyo unayoipenda wewe
Tanga huku Toptang, Ivori ndo zinatumika Sana
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom