Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Moja kwa moja twende kwenye mada

Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...


Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...



Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla

Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.

Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...

Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.
Ili kuendana na soko hivi unahitaj kama mtaji wa sh ngapi kuweza kufungua duka la jumla atlist faida ionekane?
 
Naweka link hapa chini ya contact hii ndo company inayotengeneza Big G Pipi

Hi company ipo Kenya


Follow this link to view our catalogue on WhatsApp: Näytä yrityksen Mzuri Sweets Limited katalogi WhatsAppissa


Hi link itakupeleka moja kwa moja hadi WhatsApp
Screenshot_20210528-175220.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom