mjamaa na kujitegemea
Member
- Mar 8, 2022
- 27
- 12
Kwa muda upatao mwaka na miezi mitano sasa nimekua mtu wa dawa za maumivu, kwenda hospital kujaribu kutumia tiba mbadala na hata kutafuta ushauri kwa watu mbalimbali pasipo mafanikio.
Ninasumbuliwa na maumivu makali sana ya makalio ambayo huanzia eneo la juu kabla hujafikia tundu la haja kubwa na kisha kusambaa na kukakamaza kiuno maumivu haya yamenisababishia kutumia dawa kwa muda mwingi kiasi ambacho naona athari ikiwemo kupoteza kumbukumbu.
Kupungukiwa nguvu za kiume nikifanya mapenzi kwa muda mrefu au mfupi nitakapomaliza bao moja sirudii kabisa.
Msaada kwa anayejua nifanyeje nipite kwenye mtihani huu.