Nitumie setting zipi kwenye internet ili niweze kuangalia movie online bila kugoma?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,171
56,754
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza, kifaa ni simu (smart phone).

Wengine hatupendi kupakua movie ila kuangalia tu online, tatizo ni kila muda movie inagoma hakuna hata raha ya kuangalia.

Nimejaribu kutumia app ya movie HD ndo kabisa.

Msaada wajuzi
 
Ingia fast.com pima speed kisha iweke hapa.
Screenshot_20200106-074142.png
 
Mkuu hii speed ni ndogo sana kuangalia HD. Ushauri wangu wa website za kutumia ziwe ni movie za 360p ama 240p, sababu unatumia simu quality haitakuwa mbaya sana.

Nunua netflix hii longo longo zote zitaondoka maana wao wanakupa quality kutokana na speed.

Au nitajie sample ya vitu unavyoangalia nikuchekie website zitakazofaa internet yako.
 
Mkuu nimeshapata app naona yenyewe haisumbui ipo gud kwangu ila huwa napenda kuangalia action movies, space science movie na documentary za kisayansi
 
Back
Top Bottom