Nitumie njia gani kumuacha?

lovelove

Member
Aug 22, 2011
21
3
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
 
nguvu ya uchawi ni wewe mwenyewe
ukiamini atakudhuru na uchawi utadhurika hata kama hakuna uchawi

ukisema toka moyoni,fanya lolote utakaloweza,hunitishi...
hata atembee uchi mchana,hudhuriki
 
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa.
kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
Watu wanapenda kutisha wenzao huyo hata kwa mganga hajaenda anakujengea woga tu, wee mwambie damu ya Yesu yanilinda basi.
 
well said the boss. pia jiimarishe kiimani,sali na kumuomba mungu akutenge na uovu na akukutanishe na muujiza wako. utashangaa na yeye hana habari na wewe.
 
sasa kuambiwa kurogwa au kuuwawa kichawi ndo utadhurika ??? je ni mara ngapi anakuambia utanikoma na huoni lolote???
 
hbu jaribu kutafuta kijana afu akufumanie kwa makusudi ka wote mtakufa si basi coz ni nature na hamtakua wa kwanza
 
mi sjakuelewwa....NANI AUMTAK KATI YA AO?
X BFREND AU BABAWATOTO?
sjakusoma....
 
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.<br />
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa <br />
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
kufa ni must ht ukibaki nae utakufa 2. embu jaribu kuachana nae ukifa si basi.
 
Unampenda sana unajikanyaga tuu, ingekuwa kweli humtaki ungechukua hatua fasta za kumuacha. Mimi nijuavyo watu wanaomba ushauri kumpata mtu na si kumuacha
 
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.

Nilidhani ni MUME, kumbe ni baba watoto!!!
 
Back
Top Bottom