Nitumie nini kuondoa weusi kwenye midomo (lips)

Ilimradi wewe unajua umeshaacha mafekechee, isikusumbue wengine wanasemaje kuhusu wewe.

Unaweza kupata ufumbuzi wa kuondoa weusi, lakini lips zikawa laini ukaanza kusikia wanasema mbona ana lips laini sana, utafanyaje?
 
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.

Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.

Au ukipiga story ukicheka utaskia mtu anaropoka pembeni kashakula majani ya bob.

Ila shida ni hizi lipsi nyeusi.

Sa naomba kupata msaada nafanyaje...??
Nipate lipsi zisizo onesha kula msuba

Alisikika jamaa mmoja anaomba ushauri kuhusu lipsi zake.
Weka picha
 
Nilishawahi kusikia eti bangi na sigara zinasababisha sana lips kuwa nyeusi,mf.huku Africa wapo wengi mbona wazungu lips zao haziwi nyeusi, au baadhi ya Black Americans wana lips za pink wakati wengi wanaongoza kwa kuvuta au kuna vitu wanapaka
 
Lips nyeusi ni kwamba melanin ni mingi na waafrika tumebarikiwa melanin lakini pia kupigwa na jua kunafanya ziwe nyeus

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom