google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,629
- 13,691
anataka kufanya colabo kwenye uumbajiUsijaribu kuufanyia uumbaji featuring
anataka kufanya colabo kwenye uumbajiUsijaribu kuufanyia uumbaji featuring
au sio afungue roho kidogo, msela amekaza mnooPiga tizi daily na kula matunda kwa sana bila kusahau kunywa maji ya kutosha
Unakunja sura sana itakua
Nipo dear
Sio Humphrey Polepole weweWakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
Wanasema kaza roho ,fungua moyo mganga Munguau sio afungue roho kidogo, msela amekaza mnoo
U. Itumie hiyomsura yako unayosema mbaya haaaa kikubwa kwanza unasema kama umekasirika kilichopo moyoni mwako kinakuwa reflected usoni.... anza ndani ya moyo then toka nje lean to be happy jifunza kucheka , fanya relaxaction ya misuli ya uso kwa kujichua mfano makunyanzi ya juu ya macho jichue kwenya nje au nenda kwa wale wadada wenye mikono. Ilaini saloon mbona utaipenda kunywa maji ,engi na vyakula vyenye vitamin A C C mwili utajiongeza wenyewe pole san .., ushauri wa mshana jr ZingatiaWakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
Kula mboga mboga za majani
Fanya mazoezi ya viungo (siyo uwende kunyanyua majim mazito uko et ndy mazoezi Fanya Yale yatakayo kujenga kidg kidg)
Epuka ma stress ( faham ways za ku manage stress)
Jitaidi kuwa MTU wa furaha (means ata some time jifunze Ku smile)
NB::
Kama yakizidi kukuganda ayataki kuondoka basi nenda ukaonane na doctor wa ngozi
Itakuwa anapenda sana Hip Hop wazee wa kukunja uso. Hahahah.
Nipo dear
Haha absolutely, labda akifikia point ya kuingia lab kufanya facial surgeries, which it will cause a regression of a lifetime.Usijaribu kuufanyia uumbaji featuring
Hii hii ya MakondaSiamini
Dar ipi hiyo?
Kweli aongeze na maji mengiSmile
Sio Humphrey Polepole wewe