Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
Usijaribu kuufanyia uumbaji featuringWakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
Una miaka mingapi mzee kaka???
makunyanzi hayatokagi mkuu.
Mh mwanaume kua na sura ya kibabe ni given. Usione aibu bro, mi walinisema mwisho wamezoea.
Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
Kula mboga mboga za majaniWakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio