NItumie mbinu gani niweze kutoa makunyanzi usoni?

Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio

habari,
jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi,mapele na hata magonjwa ya ngozi ya muda mrefu,husaidia kuiacha ngozi katika hali ya ukavu unaopendeza na kuondoa mafuta mengi usoni.
nauza sabuni moja kwa elfu 2 tu na pia kwa wale wa jumla nauza kwa box moja shilingi elfu 60. tunapatikana dar es salaam ilala pia tunafanya delivery ndani na nje ya dar es salaam karibuni sana
0659756647
IMG_1362.JPG
 
Wakuu ni mbinu gani nitumie ili kuondoa makunyazi usoni!?maana kila time naonekana kama nimekasirika kumbe sio
Kula mboga mboga za majani


Fanya mazoezi ya viungo (siyo uwende kunyanyua majim mazito uko et ndy mazoezi Fanya Yale yatakayo kujenga kidg kidg)

Epuka ma stress ( faham ways za ku manage stress)

Jitaidi kuwa MTU wa furaha (means ata some time jifunze Ku smile)


NB::
Kama yakizidi kukuganda ayataki kuondoka basi nenda ukaonane na doctor wa ngozi
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom