Nitumie dawa aina gani.?

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habarin?

Naomba madaktari walipo hapa JF wanisaidie kwa dalili hizi hapa kwenye picha nitumie dawa gani.?
IMG_20190706_150610.jpeg
 
Nimeenda lakini napewa dawa hata siponi ila nilijaribu kumueleza daktari lakini hata kunipima hamna alinipa dawa tu ...ila damu haitoki
 
Kunywa juic ya miwa mara kwa mara na maji ya kutosha ,unaonyesha unauvimbe katk kibofu may be bacteria wamefanya kijiji
 
Kikubwa nenda kapime maana Zinafanana na dalili za UTI ila hiyo frequently urination fanya ucheki na kisukari.
 
sema dawa ulizowahi kutumia na kwa muda gani,je dose iliisha?
 
Wakuu habarin?

Naomba madaktari walipo hapa JF wanisaidie kwa dalili hizi hapa kwenye picha nitumie dawa gani.?View attachment 1148064

Mkuu ugonjwa wako unatibika kwa antibiotics tu ila inategemea na usugu wa hao wadudu
Ushauri fuata ushauri wa daktari wako akikupa dawa tumia zikiisha kapime kama wameondoka au la kama bado atakupa antibiotics zenye nguvu zaidi
 
Cystitis in inflammation of urinary bladder and ureter... So nakushauri tumia combination ya antibiotic
 
Back
Top Bottom