Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

Ipo moja inaitwa Free Mobile Tracker.Itakuwezesha kupata calls,pictures na text messages

Kuna uzi humu unaexplain hii kitu..Jiandae kisaikolojia kuvunja mahusiano yako
 
Wekeni tunufaike wote bola kuchukua tahadhali kabla ya ajali ukiogopa presha basi subili ukimwi,
 
Khaa!! Hatukai kwenye mapenzi kwasababu ya uaminifu. Na wala hatuachani kwa sababu ya kukosa uaminifu. Tunakaa kwa sababu tunapendana. Hicho unachokitaka ulipaswa ukifanye kabla hajawa wapenzi. Usiwe ----- hapa kuna mmoja wenu hampendi mwenzake na anatafuta sababu. Una muda na pesa za kuchezea wewe
 
kuchunguzana sana haifai unatafuta magonjwa ww hasa presha, sisi wenyewe tuna wake hatuwamini sana hatuwapuuzi sana 50/50 anything can happen be prepared.
 
Habari zenu wanna wanna JF, naombeni mnisaidie a prication ya kupata text anazotumiwa mpenzi Wangu.

Mkuu acha uo umbulula utakufa kwa presha, na ww akianza kuchunguza umo kwenye cmu yako ndani amuwez karika kama anakueshimu shukuru mungu acha izo mambo
 
mie mpenzi sijui km ndio kashaniskiliza kny simu,maana siku hizi full mchuno?:A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2::A S-frusty2:
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom