Nitumiapo kondomu huwa........

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
Napenda kufahamu nitumiapo kondomu huchelewa kufika kilele tofauti nisipo tumia kondomu huwahi kufika kilele kwanini?
 
Napenda kufahamu nitumiapo kondomu huchelewa kufika kilele tofauti nisipo tumia kondomu huwahi kufika kilele kwanini?

Jibu ni rahisi...uume una mishipa ya fahamu ambayo husense ule mgusano/msuguano kati ya uume na uke (au mkono, mdomo/ulimi), na hiyo ndio inapelekea ile raha na kufika mshindo/kilele. pia mishipa hii ya fahamu husense na joto lile la mle ndani mwa uke ambayo pia huongezea kwenye kufika mshindo mapema.

Ukivaa condom..ina maana ile hali ya kugusana/suguana kati ya uume na uke, na ile hali ya kuhisi joto la ukeni inapungua, hivyo its logic muda unaochukua kufika mshindo utakuwa mrefu zaidi.
 
Kwa usalama wako wewe endelea tu kuitumia hiyo kondomu,hata kama unachelewa kufika kileleni,maana huo ndio usalama wako.
 
Labda kwa sababu you're a SWEET Boy.... Hv mwanaume kamili utajiitaje SWEET? Kwahiyo mtaani ukiitwa SWITIIIIIIIIIIIII, unafurahia tu?
 
Ole wako utamani kufika haraka uache kutumia kinga, utakuja jutia.
 
Jibu ni rahisi...uume una mishipa ya fahamu ambayo husense ule mgusano/msuguano kati ya uume na uke (au mkono, mdomo/ulimi), na hiyo ndio inapelekea ile raha na kufika mshindo/kilele. pia mishipa hii ya fahamu husense na joto lile la mle ndani mwa uke ambayo pia huongezea kwenye kufika mshindo mapema.<br />
<br />
Ukivaa condom..ina maana ile hali ya kugusana/suguana kati ya uume na uke, na ile hali ya kuhisi joto la ukeni inapungua, hivyo its logic muda unaochukua kufika mshindo utakuwa mrefu zaidi.

Mpaka uvute picha ya demu mwingine mzuri zaidi ndio ufike.
Mi ndio maana niliamua maisha yangu kumwachia Bwana Yesu
 
Mpaka uvute picha ya demu mwingine mzuri zaidi ndio ufike.
Mi ndio maana niliamua maisha yangu kumwachia Bwana Yesu

Hongera sana kama uliamua hivyo maana ulikua humtendei haki mwenzi wako na kwa ufupi nitabia mbaya kujamiana na asha mawazo yako kwa ashura kweli hiyo nihaki
 
Polepole ndo mwendo utafika2 c unajua ajali nyingi sahv endesha taratibu2 ukitaka kuwahi kufika usivae element uone!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom