N Ngala Senior Member Sep 30, 2009 160 23 Jul 24, 2010 #1 kupitapita kwako kunanipa wazimu hii ni wiki ya pili ninakuona sura yako yakijap.ani na umbo lako kweli lanivutia....
kupitapita kwako kunanipa wazimu hii ni wiki ya pili ninakuona sura yako yakijap.ani na umbo lako kweli lanivutia....
B Bulesi Platinum Member May 14, 2008 14,210 13,724 Jul 25, 2010 #3 Babuyao said: Duh! Nimekosea njia nini!? Click to expand... Umepotea njia mzee leo umekula TIGO!!
N Ngala Senior Member Sep 30, 2009 160 23 Jul 25, 2010 Thread starter #4 Bulesi said: Umepotea njia mzee leo umekula TIGO!! Click to expand... huyo ni mbaraka mwishehe mwaruka enzi za ujana wangu ilikuwa tulizo la moyo wangu.kimsingi nimezikumbuka mbaya hususani w-end hiiiiiii
Bulesi said: Umepotea njia mzee leo umekula TIGO!! Click to expand... huyo ni mbaraka mwishehe mwaruka enzi za ujana wangu ilikuwa tulizo la moyo wangu.kimsingi nimezikumbuka mbaya hususani w-end hiiiiiii