Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

Maana yake ni kwamba kwenye financial markets hakuna price ambayo ni too high or too low... Price ina move popote..

Kuna watu huwa wanadhani price ikiwa ndogo sana ndo opportunity ya kununua.. ama ikiwa kubwa sana basi inatakiwa kuuzwa.. sivo ilivo
Umenena vyema......na pia umenikumbusha mbali Sana mkuu
 
Mkuu somo lako zuri kabisaa, bit coin tumeshachelewa, ila kwa sasa macho yote tuyaelekeze kwenye USD Coin.
The future is there
Bado sana, Bitcoin revolution ndio imeanza na itaingia kila kona ya dunia sio kwenye currency tuu, kumbuka is not about bitcoin ni technology behind bitcoin yaani BLOCKCHAIN, kila kitu kama Government's, banking and financial system, social medias companies, corporations etc kwa ufupi anything centralized will be decentralized na hapo ndio blockchain magic inavyofanya kazi, anyway cha maana mnachoweza kufanya ni kujifunza kujua blockchain inavyofanya kazi na kuielewa in order to take advantage of it, imagine kutumia talent then kuimiliki 100% bila kuwa na wasiwasi wa kuchakuchuliwa na kuiuza bila kugawana pesa na youtube,sony or wasafi, imagine voting bila kuwa wasiwasi wa kura yako kuchakachuliwa na CCM na kuwa na uhakika 100% kura yako imeenda kwa yule uliyemtaka , internet ilituletea revolution namna ya kutumia information zetu na makampuni kama google, facebook etc yakazaliwa, sasa blockchain itakuwa about digital value/money and leaderless na haitampendelea yeyote, yule wa Dar au Silicon Valley wote mtakuwa na chance sawa..go educate yourself uelewe materials mengi sana youtube, google etc
 
Wananchi someni courses to become Blockchain developers, kuna mambo mengi sana you can do na hii technology sio crypto tuu, courses zipo nyingi sana online
 
Sorry bro, Bitcoin hiyo ilipanda straight au ilikuwa inapanda nakushuka?? Means katika upandaji wa hiyo Coin kuna watu walipoteza pesa pia
Logic ya kununua bitcoin ni kuihold hadi pale itakaporudisha investment yako, kushuka ni temporarily ila kupanda ni lazima.. kama sio mvumilivu ni bora ukaweke pesa yako benki!
 
Mkuu somo lako zuri kabisaa, bit coin tumeshachelewa, ila kwa sasa macho yote tuyaelekeze kwenye USD Coin.
The future is there
Hii coin imetengenezwa kubaki hivo hivo tu haipandi wala kushuka......kama una hela invest hata kwa BTT,SHIBA INU,WINK na HOLO kwa usd 10,...unaweza tengeneza us 100 by 2025,
 
Panda mbegu ndugu, huko mbeleni majibu utakuja kuyapata..

Theory ya utajiri ni moja tu "If you want to be rich, u have to produce goods or services"

Hayo yenu mengine fanyeni, ndio yaleyale tu kama yule Mngoni aliyekuwa anawadanganya ananunua mahindi gunia elfu 70 anauza elfu 40..

Always, losers like shortcuts...
Not necessary.....investing in bond,stocks etc......haufanyi services yeyote market ikikua nawe pesa yako inakua......2005,mzee alininunulia hati fungani U.T.T kwa elfu 30,2015,akanipa cheque nikaenda kutoa laki 5,sijafanya kazi yeyote ile.....tuna mengi ya kuwafundisha watoto wetu kuhusu pesa
 
Juzi kuna mdau alileta thread ya Pi Coin kwa sasa ni bure kabisa. Ina zero value at the market ipo katika phase ya pili ya development. Unachotakiwa ni kuanza kumine mpaka itakapo ingia phase ya tatu ndio watasimamisha mining na kua na value. Ila watu watapotezea 5-10 years later tutaishia kusema ni utapeli tu kumbe wenzako waliinunua wakati ikiwa haina thamani.
Nina pie kama 500,sasa mdogo mdogo nasikilizia
 
naendelea kumine mdogo mdogo,jana core team imetangaza mwaka ujao,2024,tunaingia mainnet........anzeni kuchimba huwezi jua,pi inaweza anza na >$10
 
Juzi kuna mdau alileta thread ya Pi Coin kwa sasa ni bure kabisa. Ina zero value at the market ipo katika phase ya pili ya development. Unachotakiwa ni kuanza kumine mpaka itakapo ingia phase ya tatu ndio watasimamisha mining na kua na value. Ila watu watapotezea 5-10 years later tutaishia kusema ni utapeli tu kumbe wenzako waliinunua wakati ikiwa haina thamani.
Jana core team imetangaza mwakani open mainnet inaanza rasmi,watu toka mwaka juzi tunachimba,Kuna mtu atakuja kutuita matapeli hapa hapa jamii forum
 
Back
Top Bottom