Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
282
225
Imeweza ku break USD20K ambayo ilikuwa ni prevuous all time high.. so possibility ni kwenda up..

Halafu ukumbuke watu wanakimbilia kwenye cryptos kwa sababu hii covid crisis ime trigger quantitative easing ambayo impact yake inaweza kushusha thamani za hizi fiat currency.. kwa hiyo watu ni kama wanaji protect kwa kuiveat kwenye cryptos
Mkuu Naantombe Mushi naomba nihoji, mie nakuelewa yote uliosema hapo juu maana ni mdau tangu 2017 huko, nina taarifa sahihi kwenye masoko ya fedha. Nimeshiriki kwenye vingi (nkimaanisha Equities, Cryptos, Forex na kidogo sana kwenye Futures), swali ni hili, kwa nini unadhani Covid-19 ita trigger Central Banks kufanya Quantitave Easing? Kwa ufahamu wangu japo si mchumi, QE programmes huwa zina devalue local currency kwa malengo mbalimbali ya kukuza uchumi lakini ikiwemo hilo la kuongeza exports, as their products now become cheaper than before na hivo, encouraging international trade. Sasa ilihali hali ya biashara si nzuri kutokana na baadhi ya nchi kuwa kwenye lockdown, sasa je kuna haja kweli ya devaluing the currency while hata manufacturing imedorora?!

Nachofikiri kinachokuza cryptos kwa muda huu, ni hedging. As kuna panic in the markets (Nkimaanisha Stocks na Currencies) na investors wanatafuta mahali pa kuipeleka mitaji yao ili kuinusuru na mdororo wa uchumi. Sasa kwa mtazamo wangu, the net effect ni ongezeko la demand ya hizi stable coins ambazo kwa sehemu kubwa zina retain value (yaani BTC, ETH, BCH). So mtu anaona bora abadili sehemu ya pesa yake (mfano alikuwa na $1,000,000) kuwa BTC/ETH/BCH kwa kuwa huenda $ ikashuka kutokana na uchumi mbaya na akiamini kuwa BTC/ETH/BCH ita retain value yake au pengine ita appreciate na hivyo kuwa faida zaidi. Sasa hiki kitu ndio huitwa Hedging kwa kiingereza.

Pia kuna habari nzuri kwenye cryptos as Tesla kama kampuni kubwa ya magari ya umeme, inapokea BTC kama means of payment na hivyo kuongeza optimism kwa wawekezaji na pia demand ya BTC kwa ujumla.

Zaidi ya hapo JP. Morgan wameanza trading ya derivatives za BTC. Bank kubwa as J.P Morgan imeona there's money to be made kwenye trading ya hizi coins. Ifahamike wazi trading sio investing, lakini kuwepo kwa big players kama J.P Morgan kuna ongeza liquidity sokoni, so optimism pia inaongezeka. All this is reflected kama ongezeko la demand, hence price increases. Huo ni mtazamo wangu.

BTC kwa kirefu ni Bitcoin, ETH ni Ethereum na BCH ni Bitcoin Cash.

Uwekezaji wowote ili unufaike nao lazima uwe na elimu stahiki. Japo ukiwa umefunga akili yako usijifunze, ni ngumu kuelewa where the money is. Mimi sio Bilionea but nafikiri nipo safarini, as naendelea na biashara na kujifunza kila siku.

I believe in Blockchain technology.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
282
225
Me natumia Sana local bitcoin kuuza bitcoin km sitaki enda bank. Ila km Nina hitaji bank basi nauza kwa advanced Cash yaani kitu faster kwenye account yangu ya CRDB salio linasoma.
Niwaambieni tu kuwa kwenye cyrptocurrency Kuna super profit. Me Habari za forex nilishaachaga kitambo huku maisha yapo kiukweli semea Hakuhitaji kukurupuka.
Na pia usiwe mvivu wa kusoma hapo cyrptocurrency utaona km mteremko
Nilisikia kama kwenye mwezi wa 8 mwaka 2020 kuwa biashara ya crypto currency hapa Tanzania imepigwa marufuku na CB. Kuna waraka ambao ulitolewa na BOT, kipindi kile baada ya kufungiwa Bureau de Change nyingi ambazo walidai hazikuwa na vigezo. Hii imekaaje mkuu au ni doing at your own risk.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
282
225
Kuna Cryptocurrency ambayo ipo katika development phase bado haina thamani na ipo for free hopefully after a year inaweza kua na thamani. Kwa sasa unachotakiwa kufanya ni kumine by login in katika platform yao once after every 24 hours. Although it's boring kumine kitu ambacho hakina thamani kwa muda mrefu but uzuri ni kua you have nothing to lose, mpaka hapo itakavyo ingia market ndio utajua thamani yake
I'm sorry to say this, hii ni kazi ya kijinga. Nenda platform inaitwa Udemy. Wana course kibao za Cryptocurrency, some free of charge, some zinauzwa. Nenda hapo ukajifunze walau kesho na kesho kutwa uje uwekeze kwenye coins zenye kuweza kuwa na faida mbeleni.

Na ushauri wa bure mwingine, pioneering doesn't pay alisema Andrew Carnegie. Wekeza kwenye coin ambazo zimeshaonesha potential ya kuleta solution ya matatizo ya watu. Hawa wamiliki wa hizi coins au tuwaite waanzilishi wake, when they're pitching to get money from investors (yaani kile kipindi cha ICO bado hawajaenda public) they can tell you anything ili wauze. Wanaweza hata create a false hype kuwa this is the next Bitcoin, sisemi usiinvest kabisa but sometimes ni sawa na kumsajili mchezaji ambaye hajawahi cheza uwanja wowote tena kwa bei ya Messi/Ronaldo.

Ila kuna watu huwa wanapenda gambling, wakiamini wao wanaweza toboa kwa coins za hivi. Basi walau invest what you can afford to loose. Lakini nkutahadharishe, process ya coin hadi kuwa mass adopted sio chini ya miaka 5 most of the time.

Public optimism sio overnight na pia being adopted na brick and mortal business huchukua muda. Tusijidanganye kuwa you'll make money in a year au 2 years. We jua tu you're in for the LONG HAUL, au ndo unaweza ishia kuwa umenunua 10000 coins kwa $0.001 then umekuja kuuza for $0.0018 faida uliyopata huwezi hata kuiita kuwa ni faida.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
282
225
So is/was Sarafu ya Rupia ya Mjerumani na Tulips(Flowers) Huko Udachi.

Quick question.. is btc a product or a means for exchange!?
Kwa navojua, BTC ni Cryptocurrency.

Cryptos zina sifa ya duality (uwili).
Kuwa kama hisa (stocks) na pia kuwa kama fedha (means of exchange).

Ila me naomba niseme kitu, kipindi cha 1980s hadi 1990s, kile kipindi cha the internet rush. Makampuni mengi yakaanzishwa juu ya hii teknolojia mpya ya internet by then but leo hii yamebakia kama Amazon, Apple na mengineyo ndo yamefika kwenye net worth ya billion dollars.

Leo tupo kipindi cha blockchain technology ndo inaingia na kushika kasi. Kipindi cha cryptography, leo kuna coins zaidi ya 10000 na kila mwezi au tuseme wiki zinazalishwa mpya. Nina imani thabiti let's say 20-30 years later zitakuwepo coins ambazo zita survive, kipindi hicho ndio maybe tutakuwa tumefanya mass adoption ya hizi coins globally.

Kazi yako wewe ili upige pesa ndefu, ni kutambua hizi coins ni zipi. Sio zote utakuwa sahihi maana wewe sio Mungu, but ukiwa unafahamu jinsi ya kufilter real men from con artists, hata kama usipopata billions ila utapata profit walau significant. Ushauri wangu invest in education kwanza. Jambo usilikatae tu kwa vile hulielewi kwa leo hii.

Binafsi huwa nafuatilia sana magazines za Forbes, hasa Forbes Africa, kuna siku walikuwa wameweka list ya young multi-millionaires waliopata pesa via Crypto investments. That inspired me, there's money to be made here.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
4,513
2,000
Nilisikia kama kwenye mwezi wa 8 mwaka 2020 kuwa biashara ya crypto currency hapa Tanzania imepigwa marufuku na CB. Kuna waraka ambao ulitolewa na BOT, kipindi kile baada ya kufungiwa Bureau de Change nyingi ambazo walidai hazikuwa na vigezo. Hii imekaaje mkuu au ni doing at your own risk.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Washamba tu!
 

Mbavu mbili

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
1,433
2,000
Fursa nyingine kwako!

Hapa kuna fursa nzuri ya kurudi kwenye sarafu ya dijiti. Fursa ya kwanza ilipewa Waturuki kwa njia ya bitcoin mnamo 2009 lakini Waturuki wengi hawakukubali na badala yake waliona kama udanganyifu na utapeli.

Wakati huo bitcoin ilianza uchimbaji wake kwa kusambaza bitcoin kwa watu bure; na lini ilianzisha kwanza thamani yake katika soko mnamo Julai 2010, bei ya bitcoin ilikuwa Dollar 8.08 tu!
Lakini leo bei ya bitcoin moja hiyo hiyo thamani yake ni Dollar 46,572.42, ambayo inamaanisha kwa Uturuki ina thamani ya TRY 599,869,708,579.99 kwa miaka 10.

Hakuna mshindani wa sarafu hiyo; na sasa ili kukabiliana na sarafu hii, wamiliki wa "Bee Network" kutoka Hong Kong wameanzisha sarafu ya dijiti iitwayo "Bee Network".


Kwa sasa, mtandao huu pia unapatikana kwa umma kwa bure. Huitaji kulipa pesa yoyote, wala hautakiwi kutazama matangazo yoyote,
Wala hautakiwi kuunda timu yako mwenyewe.
Ni sarafu ya kwanza ya dijiti ulimwenguni ambayo inaweza kuchimbwa na programu moja tu ya rununu (Simu kiganjani).

Njia inavyofanya kazi ni kwamba lazima ufungue programu mara moja kwa masaa 24 na ubonyeze kitufe cha njano ili kiwe cha kijani kibichi halafu usifanye chochote mara moja itaanza kuchimba madini kwa namna ya kuhesabu nambari.
Wala programu hii haiitaji mtandao endelevu. Anza tu uchimbaji na unahitaji mtandao wa internet kwa sekunde 10 tu hata baada ya masaa 24.

Kujiunga na mtandao huu, nenda kwenye Play Store na utafute mtandao wa "Pi Network". Baada ya kusanikisha programu, ukiifungua, utaona chaguzi mbili, moja ni kufungua akaunti kwa msaada wa Facebook na nyingine ni kufungua akaunti kwa msaada wa nambari ya simu.
Kama unafungua akaunti kwa msaada ya nambari ya simu, itakuwa salama zaidi, (hakikisha nambari ya simu unayohitaji kutumia kusajili iko kwa simu hiyo). Kisha ingiza nywila unayotaka kuweka, lakini nywila inapaswa kuwa kama hiyo ikiwa ni pamoja na kila kitu kama; @Abc5

°Kisha utaulizwa jina lako
°Kisha ingiza jina la mtumiaji (Username) unayotaka kuweka
°Na kisha ingiza Nambari ya "mwaliko" mwishoni, ambayo bila kuiweka hautaweza kufungua akaunti.


Nambari ya Mwaliko ni: m4mthx

Hakuna uwekezaji wa pesa, hakuna ulaghai bandia wa matangazo, hakuna udanganyifu wa ujenzi wa timu.
Hii ndio madini pekee ambayo hufanywa na nishati ya rununu (Simu) yako.

Hupaswi kusubiri, wakati wako ni sasa!

Nambari ya Mwaliko: m4mthx

 

machaedo

Member
Jan 13, 2017
35
95
Humu ndani ukizungumza habari za Forex na Bitcoin, unaitwa tapeli. Iteni mpendavo lakini lazima niwachangamshe akili kidogo.

Bitcoin moja leo imefika USD 23,000 ( Kama Tzs 53 Million.

Na tarehe 16 March mwaka huu 2020, bei ya bitcoin moja ilikuwa inauzwa kwa Tzs 11 Million, maana yake ni kwamba kama uliwekeza milioni 11 mwezi march, sahiv ungekuwa na faida kama Tzs 42 Million.

Yaani ungeweza kabisa ku postpone kununua IST na ukarisk kwenye bitcoin, ungekuta sahiv unaongelea kununua Ford Ranger!!.

View attachment 1652679

Anyway, lengo la uzi wangu sio kuwatia watu machungu, najua kuna matomaso hapa wataniuliza, wewe umetengeneza faida ya sh ngapi mpaka sasa..?

Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwakumbusha kwamba, FINANCIAL MARKETS IS REAL..

Somewhere, someone is making good monies out of it, so sio vizuri kutukana hustlers wa kwenye bitcoin na forex.

Kama kitu hutaki, potezea kimya kimya.. ila usiwavunje watu moyo.

Hivo yani.

Sorry bro, Bitcoin hiyo ilipanda straight au ilikuwa inapanda nakushuka?? Means katika upandaji wa hiyo Coin kuna watu walipoteza pesa pia
 

NDORANGA

Member
Feb 6, 2021
92
150
Maana yake ni kwamba kwenye financial markets hakuna price ambayo ni too high or too low... Price ina move popote..

Kuna watu huwa wanadhani price ikiwa ndogo sana ndo opportunity ya kununua.. ama ikiwa kubwa sana basi inatakiwa kuuzwa.. sivo ilivo
Umenena vyema......na pia umenikumbusha mbali Sana mkuu
 

Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
218
250
Mkuu somo lako zuri kabisaa, bit coin tumeshachelewa, ila kwa sasa macho yote tuyaelekeze kwenye USD Coin.
The future is there
Bado sana, Bitcoin revolution ndio imeanza na itaingia kila kona ya dunia sio kwenye currency tuu, kumbuka is not about bitcoin ni technology behind bitcoin yaani BLOCKCHAIN, kila kitu kama Government's, banking and financial system, social medias companies, corporations etc kwa ufupi anything centralized will be decentralized na hapo ndio blockchain magic inavyofanya kazi, anyway cha maana mnachoweza kufanya ni kujifunza kujua blockchain inavyofanya kazi na kuielewa in order to take advantage of it, imagine kutumia talent then kuimiliki 100% bila kuwa na wasiwasi wa kuchakuchuliwa na kuiuza bila kugawana pesa na youtube,sony or wasafi, imagine voting bila kuwa wasiwasi wa kura yako kuchakachuliwa na CCM na kuwa na uhakika 100% kura yako imeenda kwa yule uliyemtaka , internet ilituletea revolution namna ya kutumia information zetu na makampuni kama google, facebook etc yakazaliwa, sasa blockchain itakuwa about digital value/money and leaderless na haitampendelea yeyote, yule wa Dar au Silicon Valley wote mtakuwa na chance sawa..go educate yourself uelewe materials mengi sana youtube, google etc
 

Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
218
250
Wananchi someni courses to become Blockchain developers, kuna mambo mengi sana you can do na hii technology sio crypto tuu, courses zipo nyingi sana online
 
Oct 19, 2020
45
150
Sorry bro, Bitcoin hiyo ilipanda straight au ilikuwa inapanda nakushuka?? Means katika upandaji wa hiyo Coin kuna watu walipoteza pesa pia
Logic ya kununua bitcoin ni kuihold hadi pale itakaporudisha investment yako, kushuka ni temporarily ila kupanda ni lazima.. kama sio mvumilivu ni bora ukaweke pesa yako benki!
 

spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
2,666
2,000
Mkuu somo lako zuri kabisaa, bit coin tumeshachelewa, ila kwa sasa macho yote tuyaelekeze kwenye USD Coin.
The future is there
Hii coin imetengenezwa kubaki hivo hivo tu haipandi wala kushuka......kama una hela invest hata kwa BTT,SHIBA INU,WINK na HOLO kwa usd 10,...unaweza tengeneza us 100 by 2025,
 

spleen

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
2,666
2,000
Panda mbegu ndugu, huko mbeleni majibu utakuja kuyapata..

Theory ya utajiri ni moja tu "If you want to be rich, u have to produce goods or services"

Hayo yenu mengine fanyeni, ndio yaleyale tu kama yule Mngoni aliyekuwa anawadanganya ananunua mahindi gunia elfu 70 anauza elfu 40..

Always, losers like shortcuts...
Not necessary.....investing in bond,stocks etc......haufanyi services yeyote market ikikua nawe pesa yako inakua......2005,mzee alininunulia hati fungani U.T.T kwa elfu 30,2015,akanipa cheque nikaenda kutoa laki 5,sijafanya kazi yeyote ile.....tuna mengi ya kuwafundisha watoto wetu kuhusu pesa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom